Chinese wakali wamlemea, uigizaji wampa ajira

Na JOHN KIMWERE Ni kati ya wanamaigizo wa kike wanaopania kufanya makubwa katika tasnia ya burudani miaka ijayo. Bila kuongeza chumvi...

KASHESHE: ‘Siri ya ndoa kunyenyekea’

Na PAULINE ONGAJI NYOTA wa injili Mercy Masika kafichua siri moja ya kuhakikisha ndoa inadumu kwa muda mrefu ni pale mwanamke anapokuwa...

KIPWANI: Dogo anayetikisa visiwa vya Lamu

Na ABDULRAHMAN SHERIFF KUNA dhana kuwa wasanii wa kiume wakioa umaarufu wao hupungua hasa kutokana na kushindwa kutangamana na mashabiki...

DOMO: Ni kama ndrama, ni kama vindeo!

Na MWANAMIPASHO KENYA ni nchi speshio. Wakati mwingine huwa nakaa nakuwaza kama mataifa mengine hushuhudia drama ambazo sisi Wakenya...

KIKOLEZO: Utamu wa chai si rangi!

Na THOMAS MATIKO KATIKA kipindi hiki kigumu cha corona mastaa wengi nchini hasa waliokuwa kwenye ndoa na mahusiano, wamejikuta katika...

DOMO KAYA: Ukimya ni dhahabu…!

Na MWANAMIPASHO DUH! Wajua bwana kuna mambo mengine kama mwanaume unatakiwa kukaa kimya. Imefikia hatua sasa tunashindana na wenzetu...

Serikali yawataka wazazi kuwakataza watoto kutazama Squid Game

Na WANGU KANURI SERIKALI kupitia Bodi ya Kusimamia na Kukadiria Uainishaji wa Filamu nchini (KFCB)  imewashauri wazazi kuwakataza watoto...

Asingekuwa na mwito, mwenge wa uimbaji ungezima

Na PATRICK KILAVUKA Ulaghai wa nyimbo zake ungemshusha moyo kama mwandamu! Lakini aliamini kwamba Mwenyezi Mungu aliyempa hekima na...