• Nairobi
  • Last Updated April 15th, 2024 2:58 PM

Kwani unatumia simu ya ‘katululu’? DJ Mo azushia polisi waliokamata dereva wake

Na FRIDAH OKACHI MTUMBUIZAJI wa muziki wa Injili alifanya fujo Alhamisi jioni kwenye kituo cha polisi cha Muthangari akitaka dereva wake...

Bahati akubalika kwa wakwe, matayarisho ya harusi yake na Diana yakinoga

NA FRIDAH OKACHI HARUSI ya mwanamuziki Kevin Kioko almaarufu Bahati na Diana Marua inanukia baada ya wawili hao ‘kupokea baraka’...

Rapudo athibitisha kutengana na Amber Ray akilaumu ‘uchizi’ kutokana na ulevi

NA MERCY KOSKEI KENNEDY Rapudo, mpenziwe Faith Makau almaarufu Amber Ray, hatimaye amezungumza wiki moja baada ya madai kuibuka...

DOMOKAYA: Lejendari Kipchoge hakika hajaonyesha picha nzuri kuhusu dogo Kiptum

NA MWANAMIPASHO HAIKUWA ni lazima ila ilikuwa ni muhimu kwa lejendari Eliud Kipchoge kumpongeza dogo Kelvin Kiptum kwa kuivunja rekodi...

Andrew Kibe asema heri ‘aombe’ ibilisi kuliko kutoa kibunda kizito kuombewa na mapasta

NA FRIDAH OKACHI VLOGA Andrew Kibe amesema ni heri kuelekeza 'maombi' yake kwa ibilisi kuliko kuingia kwa utumwa wa kutoa pesa nyingi...

Whozu akiri hana kwake, ndio maana anaishi kwa mpenziwe Wema Sepetu

MWANAMUZIKI Whozu amekiri kuwekwa na mpenzi wake Wema Sepetu. Kwa muda sasa, kumekuwa na tetesi kwamba Whozu hana kwake na kuwa kahamia...

Baada ya kugawanya mashabiki kwa ‘Nataka Kunyonywa’, Embarambamba aibuka na ‘Panua’

NA WANDERI KAMAU MWANAMUZIKI tatanishi wa nyimbo za injili ‘Embarambamba’ kutoka eneo la Gusii, sasa amerejea na kibao kipya kiitwacho...

Ndoa ya mitara inatambulika kisheria, Karen Nyamu ajitetea ‘akihalalisha’ penzi lake kwa Samidoh

NA FRIDAH OKACHI SENETA Maalum Karen Nyamu ametetea uhusiano wake na mwanamuziki Sammy Muchoki almaarufu Samidoh. Wawili hao wana...

Isaac Mwaura kuweka kando jeans na kitenge baada ya kuteuliwa kuwa msemaji wa serikali

NA FRIDAH OKACHI MSEMAJI wa serikali Isaac Mwaura amesema atabadilisha mtindo wa mavazi yake ambapo sasa ataweka kando jeans na mashati...

Zari amtia wivu Diamond kwa kuolewa na ‘kibenten’

NA MWANDISHI WETU ZARI Hassan almaarufu The Bosslady, aliyekuwa mpenziwe mwanamuziki tajika wa Bongo Diamond Platnumz, alifunga ndoa na...

Siasa ilibonda vibaya mifuko yangu, akiri mcheshi MC Jessy

Na SINDA MATIKO MCHEKESHAJI MC Jessy anadai mfuko wake ulibondeka vibaya mno kwenye uchaguzi mkuu uliopita. Jessy aliwania kiti cha...

Sammy G avuna matunda ya ‘challenge’ Guardian Angel akikubali kolabo

NA LABAAN SHABAAN KIJANA Sammy G K mwenye hamu na kiu ya kukua katika tasnia ya burudani ameanza kuona matunda ya kufanya challenge ya...