• Nairobi
  • Last Updated December 2nd, 2023 1:45 PM

Kero kwa Zuchu Tanasha Donna akimpa Mama Dangote zawadi ya ‘birthday’

NA FRIDAH OKACHI MAMAKE msanii wa jina kubwa Diamond Platnumz, Mama Dangote amepokea zawadi ya manukato na maua kutoka kwa Tanasha Donna...

Mchango: Familia ya mtandaoni yampa mtangazaji Kimani Mbugua bega la kuegemea

NA MARY WANGARI MWANAHABARI nyota wa zamani katika runinga ya Citizen amejitokeza kuomba msaada kwa Wakenya baada ya kupambana na maradhi...

Brian Chira aweka kiburi kando, aomba msamaha kwa waliomsaidia

NA FRIDAH OKACHI MTENGENEZAJI maudhui kwenye jukwaa la TikTok, Brian Chira, ameomba msamaha kwa mara nyingine kufuatia matamshi yake...

Mwanamuziki Dennis Mutara hatimaye aruhusiwa kuondoka hospitalini

NA WANDERI KAMAU MWANAMUZIKI maarufu wa nyimbo za injili, Dennis Mutara, hatimaye ameruhusiwa kuondoka hospitalini, baada ya kulazwa kwa...

HII IMEENDA: Mtimkaji Mary Moraa atoka sokoni

NA AYUMBA AYODI HAKUJUA kile ambacho kilikuwa kikimsuburi katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta (JKIA) baada ya kuwasili...

Dorcas Gachagua: Ufukara katika familia nusra usababishe nijitie kitanzi

NA SAMMY WAWERU MKE wa Naibu Rais Rigathi Gachagua, Bi Dorcas Gachagua, amesimulia jinsi nusra ajitie kitanzi kufuatia mahangaiko...

Karen Nyamu: Ruto ndiye ameumia zaidi na kupanda kwa bei ya mafuta na anapambana kurekebisha hali

NA WANGU KANURI SENETA maalum Karen Nyamu amemtetea Rais William Ruto baada ya kukiuka ahadi yake ya kushukisha bei ya mafuta. Kwenye...

‘Ex’ wa Diamond Platnumz, Hamisa Mobetto akana kukarabati uso wake

Na SINDA MATIKO VITU vingi vimesemwa kumhusu soshiolaiti Hamisa Mobetto na kati yavyo ambavyo anakanusha, ni kufanyiwa upasuaji wa uso ili...

Mwanamuziki Muigai wa Njoroge akana ‘kumdhuru’ msanii Dennis Mutara

NA WANDERI KAMAU UTATA unaomkumba mwanamuziki maarufu wa nyimbo za injili, Dennis Mutara, sasa umechukua mkondo mpya, baada ya baadhi ya...

Mashabiki wasifu Wahu na Nameless kudumu pamoja licha ya hali tete ya ndoa za kisanii

NA RICHARD MAOSI WAKENYA mtandaoni wamepongeza Wahu na Nameless kwa kudumu ndani ya ndoa kwa miaka 18. Hili likiwa ni funzo la karne...

Maswali Seneta Karen Nyamu akisaidia Samidoh kutumbuiza majuu

NA MERCY KOSKEI MASHABIKI wa msanii wa Mugithi, Samuel Muchoki almaarufu Samidoh nchini Australia  walishangaa kumuona Seneta maalum...

Zuchu adai Diamond ndiye mwanamume wa kwanza kumpa burudani chumbani

NA WINNIE ONYANDO MWANAMUZIKI kutoka nchini Tanzania Zuhura Othman Soud almaarufu Zuchu, amefichua kuwa Naseeb Abdul almaarufu Diamond...