NA CHRIS ADUNGO YEYOTE ambaye amesomea kazi ya ualimu anatakiwa kuwa kielelezo chema, mwadilifu na mwajibikaji. Zaidi ya kuwa mbunifu...
NA RICHARD MAOSI MCHEZO wa Sataranji almaarufu Chess unaweza kuchezwa na kundi la watu wenye umri wowote, sehemu yoyote ikiwemo ndani na...
NA CHRIS ADUNGO MWANDISHI asiye na ujuzi wa kutumia lugha kwa ufundi hukosa uhuru wa kusema anachokitaka kwa jinsi anavyotamani kifikie...
Na CHRIS ADUNGO MWALIMU aliye na wito wa kufundisha na mapenzi ya dhati kwa taaluma yake, ana jukumu la kuchochea wanafunzi wake kupiga...
NA PATRICK KILAVUKA ANASEMA kukipenda unachokifanya ni njia ya kukuza hamu na ari ya kukifanya kwani kipendacho roho hula nyama...
NA HASSAN MUCHAI LEO tumebahatika kumpata mshairi, mhadhiri, mwanafalsafa , mtetezi wa dini na msomi maarufu kutoka taifa jirani la...
NA CHRIS ADUNGO WANAFUNZI sita walioibuka mabingwa wa kitaifa katika ‘Shindano la Uandishi wa Insha za Taifa Leo’ katika miaka ya...
NA PROF IRIBE MWANGI MNAMO Novemba 24 mwaka jana (2022), niliandika kumhusu Mzee Abdilatif Abdala nikasema: (yeye ni) jagina, ustadh,...
NA ENOCK NYARIKI LUGHA za kwanza hukumbwa na utata katika kupambanua msamiati ‘roho’ na ‘moyo’. Waama, katika lugha hizo, halipo...
NA HENRY MOKUA KILA mara jambo jipya huzua uchangamfu unaofungamana na wasiwasi wa namna fulani. Anayelitazamia huvutiwa na wazo...
NA PROF JOHN KOBIA HIVI majuzi nilisoma tangazo la kozi mbalimbali zinazotolewa na Chuo cha Mafunzo ya Utabibu cha Kenya (Kenya Medical...
MZEE Makutwa na Mzee Machuka ni mahirimu waliosuhubiana tangu utotoni. Kabla ya kustaafu, walikuwa watumishi wa umma. Mzee Makutwa alikuwa...