• Nairobi
  • Last Updated May 29th, 2023 9:37 PM

PATA USHAURI WA DKT FLO: Nahisi maumivu kila ninapoenda haja kubwa, tatizo ni nini?

Mpendwa Daktari, Kwa majuma kadhaa nimekuwaa nikikumbwa na maumivu kwenye tupu ya nyuma hasa kila ninapoenda haja kubwa. Haya ni maradhi...

Akothee: Msiniulize kuhusu wadhifa wangu wa Rais wa ‘singo matha’

Na MWANDISHI WETU MWANAMUZIKI Esther Akoth amewarai wafuasi wake kutomuuliza maswali kuhusu wadhifa wake kama rais wa ‘singo...

Sarakasi za Akothee Ufaransa akizuiwa kutumia majanichai ya Kenya

NA MERCY KOSKEI MWANAMUZIKI Esther Akoth ‘Akothee’ alishangaza wengi baada ya kufika katika mkahawa mmoja nchini Ufaransa na kutaka...

Dadake Betty Kyalo aajiri mtunzi wa watoto wa mbwa wake

Na MWANDISHI WETU DADAKE mdogo mtangazaji tajika Betty Kyallo, Gloria Kyallo alitangaza kuwa na mfanyikazi wa vilebu...

Thailand yahalalisha bhangi licha ya sheria kali za mihadarati

NA MERCY KOSKEI SERIKALI ya Thailand imelegeza sheria zake za bangi na kuhalalisha matumizi ya bidhaa hiyo huku watumiaji wakiruhusiwa...

Sonko aonyesha kamera za CCTV zilizosheheni kwake akisema wezi kufikia pesa zake ni ndoto

Na WAANDISHI WETU ALIYEKUWA gavana wa Nairobi Mike Mbuvi Sonko amekanusha madai kwamba wezi wanaweza vamia nyumbani kwake na kumuibia...

Anavyovuna katika biashara ya kuchoma nyama  

NA SAMMY WAWERU IDADI ya watu ulimwenguni ikikadiriwa kuongezeka kwa kasi ifikapo 2050, ulaji nyama unatarajiwa kuongezeka mara...

Viva, Miguna Miguna amsuta Rais Museveni kwa pendekezo kujinunulia nguo za Sh350 milioni, Uganda ikizongwa na umaskini  

Na WANGU KANURI WAKILI Miguna Miguna amemkemea Rais wa Uganda Yoweri Museveni kufuatia pendekezo la bajeti ya Sh350 milioni kujinunulia...

Njugush na Wakavinye wafunguka kuhusu kufanya kazi pamoja kama wanandoa

Na MWANDISHI WETU WACHESHI Timothy Kimani almaarufu Njugush na mkewe Celestine Ndinda anayejulikana kimsimbo kama Wakavinye wamefunguka...

Covid-19 ilivyogeuza ufugaji nguruwe kuwa kampuni

NA SAMMY WAWERU DAIICHI Farm Ltd ni kampuni inayojishughulisha na usindikaji (processing) wa nyama za nguruwe katika Kaunti ya Meru....

Polisi mchoraji ahimiza wenzake watumie talanta kuzima msongo wa mawazo

NA MAGDALENE WANJA ELIJA Gakuya alikuwa tu amehitimu na cheti cha Kemia kutoka Chuo Kikuu cha Kenyatta (KU), alipoona tangazo kwenye...

Akothee ajitambulisha kama ‘singo matha’ licha ya kufunga ndoa

Na MWANDISHI WETU MWANAMUZIKI Esther Akoth almaarufu Akothee bado anajitambulisha kama rais wa wazazi wa pekee wa kike (single mothers)...