GWIJI WA WIKI: Mwanahabari Selly ‘Kadot’ Amutabi

NA CHRIS ADUNGO UANAHABARI ni taaluma ambayo Selly ‘Kadot’ Amutabi alianza kuvutiwa nayo katika umri mdogo. Alianza safari ya elimu...

Wanafuga samaki wa kiume pekee kufungia nje ushindani

NA PETER CHANGTOEK KATIKA umbali wa kilomita takribani 60 kutoka jijini Nairobi, shamba moja la ufugaji samaki linatambulika kwa wengi....

SHINA LA UHAI: Matibabu ya kansa nchini yamletea afueni afya ikiimarika

NA PAULINE ONGAJI KATIKA kitengo kipya maalum cha matibabu ya kuhamisha uboho (bone marrow transplant) BMT kwenye orofa ya sita ya...

TALANTA: Ngoi asiye na mfano

NA PATRICK KILAVUKA USIJE ukadunishwa na yeyote unapofanya kitu au kuwa mwoga. Kuwa mkakamavu na usiyekata tamaa! Isitoshe, maneno ya...

TEKNOLOJIA: Tecno yazindua simu aina ya Phantom V Fold

NA WINNIE ONYANDO WIKI chache baada ya kuzindua simu aina ya Phantom X2, Kampuni ya kutengeneza simu ya Tecno imezindua PHANTOM V Fold...

PENZI LA KIJANJA: Hizi hapa mbinu za kuteka mumeo asiwe fisi

NA BENSON MATHEKA KWA miaka 15 umekuwa mke mzuri na mwaminifu kwa mumeo. Kwa heshima zote, unajitolea kumtunza kama mfalme wako...

MIKIMBIO YA SIASA: Malala atafanikisha ajenda fiche ya Ruto?

NA WANDERI KAMAU JUHUDI za Rais William Ruto kumaliza ushawishi wa vyama tanzu vya kisiasa katika mrengo wa Kenya Kwanza zinaendelea...

JUKWAA WAZI: Mbadi, Ichung’wa wageukiana kuhusu ahadi ‘hewa’ ya Ruto

NA WANDERI KAMAU MNAMO Septemba 2022, Rais William Ruto aliwaahidi Wakenya kwamba angepunguza matumizi ya fedha wizara na idara tofauti za...

JUNGU KUU: Hivi urafiki wa Kenya na China umekatika?

NA WANDERI KAMAU MZOZO ambao umeibuka kuhusu kituo tata cha kibiashara cha China Square kilicho katika Chuo Kikuu cha Kenyatta katika...

Kisura anayelenga kupata mavuno mazuri katika uigizaji

NA JOHN KIMWERE  NI ndoto ya kila msanii kuona anaimarika katika kazi zake na kutambulika kote duniani. Meegesh Neshiro...

BORESHA AFYA: Fahamu ni kwa nini unafaa kunywa chai ya halwaridi

NA MARGARET MAINA mwmaina@ke.nationmedia.com HALWARIDI ina historia ndefu ya kutumika katika upishi na ni ya kunukia. Lakini pia...

KIKOLEZO: Ifahamu hii sanaa ya ucheshi isiyo kawaida

NA SINDA MATIKO KUNA sanaa fulani ya uchekeshaji ambayo Wakenya bado wanahangaika kuielewa, iitwayo ventriloquism (uchekeshaji kwa...