BENSON MATHEKA: Wakenya wasisubiri muujiza kutoka kwa serikali ya Ruto, lazima watoe jasho

NA BENSON MATHEKA MAONI mseto yametolewa kuhusu maamuzi ya Rais William Ruto wiki moja baada ya kuapishwa na kuingia mamlakani. Kuna...

TAHARIRI: Kaunti zina jukumu kubwa kuzima njaa

NA MHARIRI KENYA kwa mara nyingine imeingia katika kipindi kinachotarajiwa kusheheni visa vya mahangaiko ya wananchi wanaokumbwa na...

TUSIJE TUKASAHAU: Kemsa haijatoa taarifa kuhusu hatima ya wafanyakazi 900 waliosimamishwa kazi Novemba 2021

MNAMO Novemba 10, 2021 Mamlaka ya Usambazaji Dawa Nchini (KEMSA) iliwasimamisha kazi, kwa muda, jumla ya wafanyakazi 900 wa ngazi za...

WANDERI KAMAU: Uingereza sasa iombe Afrika msamaha ikimuaga Malkia

NA WANDERI KAMAU KIFO cha Malkia Elizabeth II wa Uingereza mnamo Septemba 8, kilifunga ukurasa wa mvutano mrefu wa kihistoria na kisiasa...

WANTO WARUI: Hekima yahitajika kufanya uamuzi kuhusu mustakabali wa mtaala wa CBC

NA WANTO WARUI HATUA ya Rais William Samoei Ruto kuunda jopo la kuchunguza ufaafu wa mtaala wa elimu wa CBC, huenda ikachukua mkondo wa...

TAHARIRI: Wabunge watumikie raia kwa uaminifu

NA MHARIRI KWA kipindi cha wiki moja kuanzia leo Jumatatu, wabunge wa Bunge la 13 watahamasishwa kuhusu masuala mbalimbali – ikiwemo...

TAHARIRI: Azimio waunge upinzani thabiti kutetea raia

NA MHARIRI BAADA ya Rais William Ruto kutangazwa mshindi wa urais na baadaye kuapishwa, viongozi na wafuasi wa muungano wa Kenya Kwanza...

WANDERI KAMAU: Ruto atimize ahadi alizotoa kwa wanawake kuimarisha usemi wao uongozini

NA WANDERI KAMAU AKITARAJIWA kutangaza baraza lake la mawaziri wakati wowote, macho yote yatakuwa yameelekezwa kwa Rais William Ruto,...

DOUGLAS MUTUA: Afrika tulenge uwekezaji badala ya kuombaomba

NA DOUGLAS MUTUA MZEE wa Eneo la Maziwa Makuu, aliye pia Rais wa Uganda, Yoweri Kaguta Museveni, juzi amezua mada muhimu ila akaghairi nia...

TAHARIRI: Vikosi vya Kenya michezo ya shule Tanzania vijikaze kudumisha ubabe

NA MHARIRI MICHEZO ya Shule za Upili ya Muhula wa Pili katika ngazi ya kanda inaingia siku ya pili, leo katika uga wa Tanzania Game and...

TAHARIRI: Serikali irejeshe ruzuku ya mafuta na unga kabla ya suluhu ya muda mrefu

NA MHARIRI NI mapema mno kuanza kuwazia kukatishwa tamaa, siku chache baada ya kuapishwa kwa Rais William Ruto. Sherehe bado ni nyingi,...

WANDERI KAMAU: Gachagua awasamehe wote na kukumbatia maridhiano

NA WANDERI KAMAU MTU yeyote anapoteswa ama kupitia machungu, huwa vigumu mno kusahau madhila na changamoto alizopitia. Ni kawaida...