• Nairobi
  • Last Updated March 28th, 2024 11:42 PM

TAHARIRI: Wabunge wa kike waangazie shida za jamii zilizo na dharura si vitenge kwa sasa

NA MHARIRI TANGU Jumanne wiki hii, wabunge wanawake wamekuwa wakiendeleza uvaaji mavazi ya Kiafrika. Kupitia chama chao (KEWOPA), wabunge...

TAHARIRI: Raila ajifunze kudumisha washirika wake kisiasa

NA MHARIRI BW Odinga ni kiongozi mjanja anayejua kucheza karata zake kisiasa kwa weledi mkuu. Ila amefeli kujifunza kutokana na makosa ya...

WANDERI KAMAU: Kenya sasa ilenge kuboresha mitambo kuondoa hofu ya udukuzi uchaguzini

NA WANDERI KAMAU KILA uchaguzi mkuu unapofanyika nchini, hakukosi kuwa na madai ya udukuzi wa mitambo ya watu wanaosimamia uchaguzi...

DOUGLAS MUTUA: Wanasiasa wa Mlima Kenya watumie akili au waangamizwe

NA DOUGLAS MUTUA UKIKUTANA na Mbunge wa Kiharu, Bw Ndindi Nyoro, mkumbushe “wajinga ndio waliwao”. Uko radhi kuielekeza nasaha hiyo...

TAHARIRI: Mradi wa Talanta Hela usiwe maneno tu, utekelezwe

NA MHARIRI MNAMO Jumatano waziri wa Michezo Ababu Namwamba aliweka wazi azma ya serikali ya Kenya Kwanza kuinua spoti mashinani kwa...

KINYUA KING’ORI: Raila apuuze usaliti wa wabunge waasi, awasamehe badala ya kuwafukuza chamani

NA KINYUA KING’ORI KIONGOZI wa chama cha ODM, Bw Raila Odinga, awe makini zaidi wakati huu ikiwa anayo nia ya kuwania urais tena siku...

JURGEN NAMBEKA: Ahadi za maji Pwani zipungue na miradi iliyopo ikamilishwe

NA JURGEN NAMBEKA WIKI jana serikali ilitangaza kuwa ingeshirikiana na kampuni za kibinafsi kutekeleza mradi wa Sh300 bilioni wa...

TAHARIRI: Sababu za watoto kuhepa JSS zibainike

NA MHARIRI RIPOTI kwamba wanafunzi zaidi ya 200,000 wamekosa kujiunga na Gredi 7 katika shule za Sekondari ya Msingi (JSS), inafaa kushtua...

TUSIJE TUKASAHAU: Sakaja na madiwani wafanye wawezalo kiutu jiji lisiwe na chokoraa kila kona

MNAMO Desemba 16, 2022 Bunge la Kaunti ya Nairobi lilimtaka Gavana wa Nairobi Johnson Sakaja kuwaondoa watoto wanaorandaranda barabarani...

CHARLES WASONGA: Ruto na Gachagua wakome kuchapa siasa katika mikutano ya maombi

NA CHARLES WASONGA TANGU walipongia mamlakani Septemba 13 mwaka jana, Rais William Ruto na naibu wake Rigathi Gachagua wamekuwa...

CECIL ODONGO: Wanasiasa waasi waende tu, ODM ni kubwa kuliko yeyote

NA CECIL ODONGO SENETA wa kwanza wa Homa Bay marehemu Otieno Kajwang’ aliwahi kutoa kauli maarufu, aliposema kuwa iwapo uaminifu wa...

TAHARIRI: Serikali ianze upesi ujenzi wa mabwawa 200 iliyoahidi

NA MHARIRI HUKU Kenya ikiendelea kukabiliana na njaa kali na ukame uliokithiri, mjadala kuhusu jukumu la mabwawa makubwa katika kutatua...