• Nairobi
  • Last Updated December 3rd, 2023 5:00 PM

CHARLES WASONGA: Mpishi wa Shule ya Mukumu hakustahili kupigwa kalamu

NA CHARLES WASONGA NAPONGEZA tume ya kupokea malalamishi kutoka kwa umma, almaarufu, Ombudsman, kwa kumtetea mpishi wa Shule ya Upili ya...

CECIL ODONGO: Kwa kiongozi dikteta, mwisho wa ubaya ni aibu

NA CECIL ODONGO KUNA msemo kuwa anayetawala kwa mkono wa chuma naye hukumbana na kifo cha kikatili. Msemo huu unatumiwa hasa...

JURGEN NAMBEKA: Wakuu Mombasa watafute jibu kwa wanaozurura barabarani

NA JURGEN NAMBEKA KILA unapotembea katika mitaa ya jiji la Mombasa, utakutana na watu kadhaa, wanaojisakia tonge kwa kuombaomba. Mara...

Sasa yametosha!

NA MHARIRI MANENO yao pekee yanaweza kuamua iwapo Kenya itafuata mwelekeo wa mataifa mengine yaliyosambaratika au itarejea katika...

CHARLES WASONGA: Vikwazo viondolewe kabla ya vitambulisho vipya kutolewa

NA CHARLES WASONGA MPANGO wa serikali wa kuanzisha vitambulisho vya kitaifa vya kidijitali kufikia mwishoni mwa mwaka huu ni mzuri ila...

TAHARIRI: FKF ichunguze malalamiko yanayoibuliwa kuhusu marefa viwanjani

NA MHARIRI WAKATI huu msimu wa soka nchini unaelekea kumalizika, itakuwa vyema iwapo waamuzi wa mechi hizo watatekeleza wajibu wao bila...

DOUGLAS MUTUA: Waafrika watafute mbinu za kusuluhisha matatizo yao

NA DOUGLAS MUTUA HIVI Waafrika wana nia ya kusuluhisha matatizo yao kivyao, bila kuwahusisha wageni, au wao ni ‘domo-kaya’ tu?...

CECIL ODONGO: Raila aingilie kati na kuzima uhasama kati ya Orengo na naibu wake

NA CECIL ODONGO KAUNTI ya Siaya ni miongoni mwa majimbo ambayo yanaheshimika nchini kutokana na kuwa chimbuko la viongozi mahiri ambao...

KINYUA KING’ORI: Serikali ikome kuongeza ushuru mpya kwa raia wanaoumia tayari

NA KINYUA KING'ORI RAIS William Ruto na viongozi wengine katika serikali ya Kenya Kwanza inaonekana wamesahau Wakenya waliwachagua...

CHARLES WASONGA: Serikali iandame wanaokwepa ushuru badala ya kulemaza raia na mzigo zaidi

NA CHARLES WASONGA KUNA msemo wa kale kwamba kuna vitu viwili pekee ambavyo ni lazima maishani: kifo na ushuru. Japo ushuru ni...

TAHARIRI: Mchango wa Ingwe ni muhimu katika soka

NA MHARIRI SHIRIKISHO la Soka Nchini (FKF) limejifunza mengi siku chache tu baada ya kuwapiga marufuku mashabiki wa klabu ya AFC...

DOUGLAS MUTUA: Uhusiano wa Urusi na Afrika utawaramba Waafrika

NA DOUGLAS MUTUA LAITI pangalikuwapo na mfumo mbadala wa siasa ambapo wananchi wanajiwakilisha moja kwa moja bila kuwachagua...