WANDERI KAMAU: Ruto ataanza utawala wake vibaya iwapo atalipiza kisasi kwa waliomkosea

NA WANDERI KAMAU BAADHI ya washirika wa Rais William Ruto wamekuwa wakinukuliwa wakisema kuwa serikali yake itaanza kulipiza kisasi...

CECIL ODONGO: Viongozi wa Nyanza wasusie upinzani, waboreshe eneo lao

NA CECIL ODONGO TANGU Kenya ijinyakulie uhuru, hakuna jamii ambayo imekuwa upinzani kwa miaka mingi kuliko wakazi wa Luo Nyanza. Hapo...

TAHARIRI: Ewe Rais Ruto utamfaa sana raia ukizitimiza ahadi

NA MHARIRI JANA Jumanne ilikuwa ni siku ya kihistoria kwa taifa letu baada ya William Ruto kutawazwa rasmi kuwa rais wa tano wa jamhuri...

BENSON MATHEKA: Waraka kwa Rais William Ruto: Usimwache Mungu katika uongozi wako

NA BENSON MATHEKA HUU ni waraka mfupi kwa Rais William Samoei Ruto. Mheshimiwa Rais, taifa linakuamini kwa uongozi unakapokula kiapo...

CHARLES WASONGA: IEBC: Kenya Kwanza isiadhibu waliotofautiana na Chebukati

NA CHARLES WASONGA RAIS William Ruto anapokula kiapo hii leo Jumanne atakabiliwa na kibarua kikubwa cha kushughulikia changamoto...

TAHARIRI: Kazi kwako Ruto, chapa kazi sasa

NA MHARIRI LEO Kenya inafungua ukurasa mpya – kutoka serikali ya Rais Uhuru Kenyatta anayestaafu leo Jumanne hadi utawala wa Rais...

WANTO WARUI: Wabunge watunge sheria kukinga mfumo wa elimu kuvurugwa kiholela

NA WANTO WARUI HATIMAYE Bunge la 13 liliapishwa Alhamisi huku likipata Spika mpya Moses Wetangula. Kibarua kilichoko mbele ya Bunge hilo...

TAHARIRI: Mvutano wanukia Mwendwa kusema amerudi afisini FKF

NA MHARIRI ALIYEKUWA Rais wa Shirikisho la Soka Nchini FKF Nick Mwendwa alitangaza jana kwamba amerejea katika uongozi wa shirikisho...

WANDERI KAMAU: Utawala wa Ruto usihangaishe raia walio na miegemeo tofauti ya kisiasa

NA WANDERI KAMAU HUKU anapojitayarisha kusalimisha nyenzo za mamlaka na kustaafu rasmi Jumanne kama rais wa nne wa Kenya, mojawapo ya...

DOUGLAS MUTUA: Kenyatta hakuhadaa Raila, alibanwa na Katiba ya sasa

NA DOUGLAS MUTUA UCHAGUZI umekwisha na ni lazima sasa tuambizane ukweli, hata ikiwa unauma: Usiamini uongo kwamba Rais anayeondoka,...

KINYUA BIN KING’ORI: Asasi za serikali ziige mahakama, IEBC katika utekelezaji wa majukumu yao

NA KINYUA BIN KING'ORI SEPTEMBA 5, 2022 itakumbukwa kama siku ambayo Mahakama ya Upeo ilidumisha ushindi wa Rais Mteule William...

JURGEN NAMBEKA: Rais mteule atekeleze ahadi zake kwa Wapwani alipofanya kampeni

NA JURGEN NAMBEKA BAADA ya Mahakama ya Upeo kuthibitisha rasmi ushindi wa Dkt William Ruto kwa urais, ni bayana kuwa kila sehemu ya nchi...