• Nairobi
  • Last Updated June 12th, 2024 4:24 PM

SARATANI WATUTAKIANI?

NA NEHEMIAH OMUKONYA Ninaandika, chozi likinidondoka, Nahuzunika, wapendwa tukiwazika, Hapa nataka, 'jua tutavyoepuka, Saratani! Tukupe...

SOKOMOKO: Mtu ni utu

NAANZA kwa la Jalia, jina lenye utukufu, Kofia nawavulia, nawapa heko sufufu, Mioyo naisifia, yenu iso usumbufu, Mtu ni mwenye...

SOKOMOKO: Tenda wema

WAJA ukiwatendeya, wema waishi vicheko, Daima utapokeya, fanaka kila wendako, Kwa kuwa wetu Jaliya, aona mchango wako, Tenda wema...

SOKOMOKO: Heshimu mama wa kambo

Heshimu mama wa kambo ACHA niseme ukweli, tusiwe wa kuhukumu, Alowaumba Jalali, na siyo kuwahukumu, Wakikosa nasaili, wapatie...

SOKOMOKO: Wasichana wala hela

WASICHANA ni wazuri, ukikuwa nazo pesa, Shababi muwe tayari, kwepuka hii mikasa, Mnatupandisha mori, hamuoni ni makosa, Tumechoka...

USHAIRI WENU: Mtima wangu tulia

Mtima wangu tulia Mtima wangu sikia, jifunze kuvumilia,Mtima wangu tulia, machungu yapokujia,Mtima wangu umia, lakini usijelia,Mtima wangu...

SOKOMOKO: Kila la heri wenzangu

MKUSANYIKO wa mashairi Jumamosi, Aprili 6, 2019. Kila heri wenzangu Elimu ndiyo maisha, kwetu sisi wanadamu,Elimu huburudisha, akikufunza...

MALUMBANO: Wadigo mbona hatuwaelewi?

Wadigo Mnani? Bismi natanguliza, sijambo la kulipuza, Walasitaki likuza, wenzetu watushangaza, Wazidi kutuchukiza, kila uchao...

SOKOMOKO: Penzi lianzapo kufa

KWANZA mawasiliano, kasi yake hupunguwa, Hayawi masemezano, ja mwanzo yalivyokuwa, Hata soga na vigano, hukoma pasi kujuwa, Penzi...

USHAIRI WENU JUMAMOSI, MACHI 2, 2019

Na MKUSANYAJI WA MASHAIRI HAYA ni mashairi ambayo yamechapishwa kwenye gazeti la Taifa Leo toleo la Jumamosi, Machi 2,...

USHAIRI WENU: Kazi nitazochapa

Na DOTTO RANGIMOTO YA Rabi kutoka kapa, mjawo ninaogopa,Kazi nitakazochapa, waja wasije zikopa,Kisha zisikome hapa, zifike hadi...

SHAIRI: Ukapera siachi, muhibu sipati

Na FELIX GATUMO NAAMUA kwa hiari, kutoasi ukapera, Mahaba kwangu kwaheri, sitaki tena hasara, Akili yameathiri, yamenifyonza...