TALANTA YANGU: Keycee ndiye Messi wa kesho

NA PATRICK KILAVUKA ANASEMA anadhamini soka kwa sababu inaweza kumtoa mchezaji mavumbini mpaka awe mchezaji wa hadhi ya kutajika. Anatoa...

Man-United waangusha City na kutawala gozi kali la Manchester Debi kwa mabao 2-1

Na MASHIRIKA MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu ya Uingereza (EPL), Manchester City, walipoteza fursa ya kuendeleza presha kali kwa Arsenal...

Mandonga ‘Mtu Kazi’ amlipua Wanyonyi kwa ngumi za TKO

NA CHARLES ONGADI HATIMAYE bondia mwenye tambo na vitisho kibao Karim ‘Mtu Kazi’ Mandonga kutoka Tanzania, amedhihirisha vitendo...

Mkenya Ondoro ashinda Houston Marathon kwa mara ya pili, azoa Sh4.3m

Na GEOFFREY ANENE MKENYA Dominic Ondoro ndiye mshindi wa Houston Marathon nchini Amerika. Ondoro alikata utepe katika mbio hizo za...

Brighton waduwaza Liverpool kwa kuipokeza kichapo cha 3-0 katika EPL ugani Amex

Na MASHIRIKA KOCHA Roberto de Zerbi amesema masogora wake wa Brighton wana kiu ya kunogesha soka ya bara Ulaya msimu ujao baada ya mabao...

Mtimkaji wa mbio fupi Makena ashinda kilomita 10 mbio za nyika Nairobi

Na GEOFFREY ANENE EVANGELINE Makena Kathenya ameibuka mshindi wa mbio za nyika za Nairobi katika kitengo cha kinadada cha kilomita 10...

STAA WA SPOTI: Huyu hapa malkia wa uendeshaji baiskeli Kenya

NA GEOFFREY ANENE HUWEZI kuzungumzia uendeshaji wa baiskeli nchini Kenya bila kumtaja Nancy Akinyi Debe. Mwanadada huyo ameweka Kenya...

NYOTA WA WIKI: Marcus Rashford

NA GEOFFREY ANENE MARCUS Rashford ni mmoja wa wachezaji wanaosisimua mashabiki wa soka nje na ndani ya Uingereza, akivalia jezi nambari 10...

Ni wikendi ya kisasi EPL

NA MASHIRIKA MANCHESTER, Uingereza MANCHESTER United na Arsenal watakuwa mawindoni katika mechi kubwa za wikendi hii kulipiza kisasi...

KWPL: Kisumu All Starlets kupimana nguvu na WADADIA Women

NA AREGE RUTH MECHI tano za Ligi Kuu ya Wanawake nchini (KWPL), zimepangwa kupigwa katika nyuga tofauti tofauti nchini. Kesho...

Fulham waendeleza masaibu ya kocha Graham Potter kambini mwa Chelsea baada ya kuwapiga 2-1 katika EPL

Na MASHIRIKA FULHAM waliendeleza masaibu ya kocha Graham Potter baada ya kupokeza Chelsea kichapo cha 2-1 katika Ligi Kuu ya Uingereza...

Barcelona kuvaana na Real Madrid kwenye fainali ya Spanish Super Cup baada ya kudengua Real Betis kwenye nusu-fainali

Na MASHIRIKA BARCELONA watakutana sasa na watani wao wa tangu jadi, Real Madrid, kwenye fainali ya Spanish Super Cup msimu huu baada ya...