NA JOHN KIMWERE TIMU ya Re-Union FC inalenga kupambana kwa udi na uvumba kuhakikisha imenasa tiketi ya kufuzu kupandishwa ngazi...
NA TOTO AREGE HISTORIA imewekwa Jumatano wakati Waziri wa Michezo Ababu Namwamba amewatuza wanahabari 195 wa michezo kwa mara ya kwanza...
NA TOTO AREGE KOCHA mkuu wa Nakuru City Queens Chrispin Wesonga amejiuzulu baada ya kuiongoza klabu hiyo kwa msimu mmoja...
NA TOTO AREGE KIBERA Girls Soccer watashuka dimbani Jumapili dhidi ya Soccer Assassins katika mechi ya kutafuta mshindi wa jumla wa Ligi...
NA CHARLES ONGADI NI kati ya wachezaji waliong’ara sana katika timu ya taifa ya akina dada ‘Harambee Starlets’ miaka ya 90 kabla ya...
NA MASHIRIKA SYDNEY, Australia JAPAN na Uhispania wanapigiwa upatu kunyanyasa Norway na Uswisi kwenye Kombe la Dunia la Wanawake...
NA JOHN KIMWERE KOCHA Michael Wanjohi wa Nyati FC amesema wamejikuta pabaya kwenye kampeni za mechi za Zoni C Ligi ya Kanda ya...
NA MASHIRIKA MUNICH, Ujerumani MSHAMBULIAJI Sadio Mane ameagana na klabu ya FC Bayern Munich ya Ujerumani na kujiunga na Al Nassr ya...
NA TOTO AREGE KOCHA wa timu ya Kenya Police Bullets FC Beldine Odemba, ndiye kocha mwanamke pekee ambaye ananoa timu ya wanawake katika...
NA LAWRENCE ONGARO SHULE ya Msingi ya Pinecrest Academy ya Juja ndio mabingwa wa Ligi ya Karate ya Shule za Kanda ya Mlima...
NA TOTO AREGE MWAMUZI wa mechi za Shirikiso la Soka Duniani (FIFA) Mary Njoroge, atakuwa mmoja wa marefa katika mechi ya Kundi G ya...
NA TOTO AREGE KENYA Police Bullets FC mnamo Ijumaa itataja kikosi cha wachezaji 26 ambao watawakilisha timu hiyo katika msimu wa 2023/24...