• Nairobi
  • Last Updated June 2nd, 2023 8:58 PM

Wetang’ula asuta Azimio

NA BENSON MATHEKA SPIKA wa Bunge la Kitaifa Moses Wetang’ula amesuta muungano wa Azimio La Umoja-One Kenya unaongozwa na Raila Odinga...

Azimio wazima mazungumzo ya maridhiano hadi wakati usiojulikana

NA CHARLES WASONGA HATIMAYE muungano wa Azimio la Umoja-One Kenya umetangaza kuwa mazungumzo ya maridhiano kati yake na Kenya Kwanza...

Azimio wapendekeza Mwenje awe naibu kiranja wa wachache Bungeni

NA JUSTUS OCHIENG KUNDI la Wabunge wa mrengo wa Azimio La Umoja-One Kenya limekutana kujadili masuala ya uongozi wa wachache Bungeni,...

Atakayechukua nafasi ya Sabina Chege kutajwa katika PG ya Azimio

NA CHARLES WASONGA KIONGOZI wa Wachache katika Bunge la Kitaifa Opiyo Wandayi ametangaza kuwa ni kwenye mkutano wa kundi la Wabunge wa...

Mswada wachanganya Wabunge upande wa UDA

NA WANDERI KAMAU WABUNGE wa chama tawala cha United Democratic Movement (UDA) wako katika njiapanda ikiwa wapitishe Mswada wa Fedha 2023...

Sipiganii tumbo langu, ninatetea mahasla – Raila

NA MWANDISHI WETU KIONGOZI wa Azimio la Umoja-One Kenya Raila Odinga ameikosoa serikali ya Kenya Kwanza akisema inaumiza raia huku...

Panyako ajiuzulu nafasi yake ya Naibu Mwenyekiti UDA

NA MWANDISHI WETU NAIBU Mwenyekiti wa chama kikubwa cha United Democratic Alliance ndani ya mrengo tawala wa Kenya Kwanza, Seth Panyako...

Rais Ruto ampiga Raila chenga

MOSES NYAMORI Na CHARLES WASONGA RAIS William Ruto amefanikiwa kumpiga chenga kiongozi wa upinzani Raila Odinga kwa kumshawishi asitishe...

Kenya Kwanza yarai Azimio kurejelea mazungumzo

NA CHARLES WASONGA WAWAKILISHI wa Kenya Kwanza katika kamati ya mazungumzo ya maridhiano wamewasuta wenzao wa Azimio kwa kujiondoa kwa...

Azimio yataka msajili wa vyama vya kisiasa atoke

NA CHARLES WASONGA VINARA wa muungano wa Azimio la Umoja-One Kenya sasa wamemtaka Msajili wa Vyama vya Kisiasa Anne Nderitu kujiuzulu...

Mzozo waendelea kuchacha Jubilee

BENSON MATHEKA Na RICHARD MUNGUTI MZOZO wa uongozi wa uongozi katika chama cha Jubilee unaendelea kuchacha licha ya Rais (Mstaafu) Uhuru...

Kioni, Murathe warudishwa katika uongozi wa Jubilee

NA RICHARD MUNGUTI KATIBU Mkuu wa chama cha Jubilee Jeremiah Kioni aliyefurushwa na kundi la mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA)...