‘Maandamano yetu si ya fujo’

NA JUSTUS OCHIENG HUKU Muungano wa Azimio la Umoja ukijiandaa kuongoza maandamano kesho Jumatatu. Taifa Jumapili ilikuwa na mahojiano na...

Azimio yaonya polisi kuhusu maandamano

JUSTUS OCHIENG Na CECIL ODONGO VIONGOZI wa Azimio la Umoja wamewaonya polisi kuwa watawajibikia vitendo vyao wenyewe iwapo watawavamia...

Misimamo mikali yazuia majadiliano ya RaiRuto

CHARLES WASONGA Na WANDERI KAMAU MISIMAMO mikali ya wanasiasa wa mirengo ya Kenya Kwanza na Azimio la Umoja-One Kenya ndio imekwamisha...

Wabunge wa Kenya Kwanza wadai maandamano ya Raila ni sawa na jaribio la kupindua serikali

NA CHARLES WASONGA KUNDI la wabunge wa mrengo wa Kenya Kwanza wamedai kuwa maandamano yaliyoitishwa Jumatatu jijini Nairobi na kiongozi wa...

Angika daluga za ulingo wa kisiasa, Kidero amwambia Raila

NA GEORGE ODIWUOR ALIYEKUWA Gavana wa Nairobi Evans Kidero, amemtaka kiongozi wa Azimio Raila Odinga kustaafu kutoka siasa na kutwika mtu...

Je, Raila ni mwanamageuzi au kiongozi mbinafsi?

WANDERI KAMAU Na RUSHDIE OUDIA MASWALI yameibuka kuhusu kinachompa kiongozi wa Azimio la Umoja, Raila Odinga, mshawasha wa kuendelea na...

Safari ya chama kimoja yaanza

NA BENSON MATHEKA SAFARI ya Rais William Ruto kuunganisha vyama tanzu vya muungano tawala wa Kenya Kwanza kuwa chama kimoja kikubwa...

Raila atangaza Machi 20 kuwa siku ya mapumziko

NA WINNIE ONYANDO KIONGOZI wa Azimio la Umoja One Kenya, Raila Odinga, ametangaza Jumatatu, Machi 20 kuwa siku ya mapumziko ili kuwapa...

Ningali simba wa siasa za Pwani, Raila asisitiza

WINNIE ATIENO Na VALENTINE OBARA KINARA wa Muungano wa Azimio la Umoja One Kenya, Bw Raila Odinga, amepuuza dhana za wapinzani wake...

Matiang’i apumua baada ya msamaha

NA WAANDISHI WETU HATUA ya Mkurugenzi wa Mashtaka ya Umma (DPP) Noordin Haji kutupilia mbali ‘mashtaka’ dhidi ya aliyekuwa waziri wa...

Ruto, Raila wasukumiwa handisheki

NA WAANDISHI WETU MIITO ya kumhimza Rais William Ruto kufanya mapatano (handisheki) na kiongozi wa Upinzani Raila Odinga iliendelea...

Ruto, Raila wazidi kuzozana huku wakiambiwa wakae wazungumze

WINNIE ATIENO NA WANDERI KAMAU KIONGOZI wa Muungano wa Azimio la Umoja One Kenya, Bw Raila Odinga, amepepeta zaidi wito wake wa...