Mudavadi akataa kumezwa na UDA

NA KALUME KAZUNGU VINARA wa Chama cha Amani National Congress (ANC), kinachoongozwa na Mkuu wa Mawaziri, Bw Musalia Mudavadi, wamepinga...

Pigo kwa ODM wabunge wawili wakipoteza viti vyao

ALEX KALAMA Na JURGEN NAMBEKA CHAMA cha ODM kimepata pigo baada ya mahakama kubatilisha uchaguzi wa wabunge wake wawili. Mahakama Kuu...

Safari ya kisiasa ya Harrison Kombe ambaye mahakama imefuta ushindi wake

NA ALEX KALAMA HARRISON Kombe ambaye alichaguliwa mbunge wa Magarini kwa mara ya kwanza mwaka 2002 kupitia chama cha Shirikisho,...

Magavana wanaohepa Azimio waelezea hofu

BENSON MATHEKA Na SHABAN MAKOKHA MAGAVANA wa Azimio la Umoja-One Kenya ambao wamekuwa wakikwepa mikutano ya hadhara kupinga utawala wa...

MDD kushika Raila mkono Pwani huku Ruto akizidi kupenya

NA JURGEN NAMBEKA KIKUNDI cha Movement for the Defense of Democracy (MDD), kilichozinduliwa hivi majuzi na Kinara wa ODM, Bw Raila Odinga,...

Cleophas Malala ateuliwa kuwa Katibu Mkuu wa UDA

NA MARY WANGARI ALIYEKUWA Seneta wa Kaunti ya Kakamega, Cleophas Malala, sasa ndiye Katibu Mkuu mpya wa chama tawala cha Rais William Ruto...

Raila aongeza kasi ya presha kwa Ruto

NA BENSON MATHEKA KIONGOZI wa Azimio La Umoja One Kenya Raila Odinga, jana alitangaza hatua za kuongeza kasi na presha ya mapambano ya...

Ushawishi wa Uhuru wadidimia marafiki wakizidi kumtoroka

NA MWANGI MUIRURI WANDANI wa Rais mstaafu Uhuru Kenyatta wanamtoroka kwa wingi ishara kwamba kudidimia kwa ushawishi wa kisiasa wa...

Gachagua alipua vinyonga wa Azimio

NA WANDERI KAMAU NAIBU Rais Rigathi Gachagua amewaonya wanasiasa waasi wanaohama kutoka mrengo wa Azimio la Umoja na kujiunga na...

Vuguvugu labuniwa ‘kumkata miguu’ Raila ngomeni Nyanza

NA JUSTUS OCHIENG KIONGOZI wa Azimio la Umoja, Bw Raila Odinga, anakabiliwa na uasi mpya katika ngome yake ya Nyanza, baada ya wabunge...

Raila, Uhuru wajipata kwenye uwanja telezi

NA WANDERI KAMAU KIONGOZI wa Azimio la Umoja, Bw Raila Odinga na Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta wamejipata katika njiapanda ya kisiasa miezi...

MIKIMBIO YA SIASA: Juhudi za Raila kukomboa Jubilee zinaweza zisifaulu

NA CHARLES WASONGA HITAJI la kisheria kwamba Rais Mstaafu sharti ajiuzulu nyadhifa za uongozi katika chama cha kisiasa au muungano wa...