NA CHARLES WASONGA KIONGOZI wa Azimio la Umoja-One Kenya, Raila Odinga, amepuuzilia mbali uvumi kwamba, anapanga kufanya handisheki na...
NA WANDERI KAMAU KIONGOZI wa Azimio la Umoja, Raila Odinga, jana Jumamosi alimwambia Rais William Ruto peupe kuwa Wakenya wengi...
NA MOSES NYAMORI HUENDA Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta akabwagwa kama kiongozi wa chama cha Jubilee huku Msajili wa Vyama Anne Nderitu...
NA BENSON MATHEKA RAIS Mstaafu Uhuru Kenyatta huenda akaamua kuacha pensheni yake kama rais wa nne wa Jamhuri ya Kenya na hafai...
NA WANDERI KAMAU WAASI katika Chama cha Jubilee (JP) jana Jumanne waliendelea kumwelekezea vita vya kisiasa Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta,...
NA WANDERI KAMAU RAIS Mstaafu Uhuru Kenyatta amegeukwa na baadhi ya viongozi aliolea, kuwajenga na kuwatetea kisiasa kwa miaka kumi...
NA CHARLES WASONGA RAIS William Ruto mnamo Jumatatu, Mei 8, 2023, alirejea jijini The Hague, nchini Uholanzi akiwa Kiongozi wa Nchi, miaka...
NA MWANGI MUIRURI JUBILEE, Sabina Chege jana Alhamisi alitangaza kuwa atamtimua Rais (Mstaafu) Uhuru Kenyatta kutoka uongozi wa chama...
NA CHARLES WASONGA SIKU moja baada ya muungano wa Azimio la Umoja-One Kenya kuanzisha awamu ya pili ya maandamano, uongozi wake...
NA BENSON MATHEKA MZOZO wa uongozi katika chama cha Jubilee umechukua mwelekeo mpya baada ya mrengo unaounga serikali ya Kenya Kwanza,...
NA SAM KIPLAGAT MAHAKAMA ya Upeo imempa afueni kuu aliyekuwa waziri Bw Raphael Tuju kwa kusitisha kupigwa mnada kwa mali yake mtaani...
NA BENSON MATHEKA KIONGOZI wa Azimio Raila Odinga jana Jumatatu alisisitiza kuwa wafuasi wao hawatabeba silaha au kuhusika na vitendo...