Wabunge wa ODM waogopa ‘cheo’ cha Raila

NA CHARLES WASONGA WABUNGE wamepinga mpango wa kubuni Afisi ya Kiongozi Rasmi wa Upinzani Bungeni wakihofia kwamba, itaua afisi ya...

Ichung’wa ahusisha Azimio na wadukuzi wa Israeli

NA CHARLES WASONGA KIONGOZI wa Wengi katika Bunge la Kitaifa Kimani Ichung’wa amewataja viongozi wa Azimio la Umoja-One Kenya kama...

Juhudi za Raila kuokoa chama cha Jubilee

NA BENSON MATHEKA KIONGOZI wa Azimio la Umoja One Kenya Raila Odinga, jana aliongoza viongozi wengine wa muungano huo kuokoa afisi za...

Mimi mlemavu na Raila hata hajawahi kunipigania, Kigame ajibizana na Alai

Na WANGU KANURI Mwimbaji wa nyimbo za Injili Reuben Kigame ameibua gumzo mtandaoni baada ya kumkashifu kiongozi wa Azimio la Umoja Raila...

Raila kutumia pia maombi kukabili KKA

NA CHARLES WASONGA KINARA wa Azimio la Umoja-One Kenya Raila Odinga ametangaza mapambano mapya dhidi ya serikali ya Kenya Kwanza na Tume...

Ruto akaribia kumpokonya Uhuru chama cha Jubilee

NA ONYANGO K’ONYANGO MATUMAINI ya Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta kuendelea kudhibiti Jubilee yanadidimia baada ya Msajili wa Vyama vya...

Ruto akata miguu ya Raila bungeni

NA WAANDISHI WETU WABUNGE wa mrengo wa Azimio la Umoja-One Kenya unaoongozwa na Bw Raila Odinga, wamejipata katika njiapanda huku Bunge...

Njomo na wabunge wengine wa zamani wa Jubilee waunga mkono mapinduzi chamani

Na CHARLES WASONGA BAADHI ya wabunge wa zamani wa Jubilee wamesema wanaunga mkono utawala wa Rais William Ruto wakati huu ambapo kuna...

Raila sasa adai Ruto ananunua wabunge

BENSON MATHEKA Na WANDERI KAMAU RAIS William Ruto na kiongozi wa Azimio la Umoja One-Kenya, Bw Raila Odinga wanaendelea kuvutana kuhusu...

Orengo aponda wabunge ‘waasi’ Azimio akisema wasukumwa na ubinafsi

NA WANDERI KAMAU GAVANA James Orengo wa Siaya jana Jumamosi aliwakashifu vikali wabunge ‘waasi’ kutoka mrengo wa Azimio la Umoja ambao...

Raila angali bado chaguo langu, Uhuru aambia wakazi

DERRICK LUVEGA Na CHARLES WASONGA KWA mara ya kwanza, tangu aondoke mamlakani, Rais mstaafu Uhuru Kenyatta leo Jumamosi amechapa siasa...

Mapinduzi ya Jubilee, raha Kenya Kwanza

MERCY KOSKEI Na ALEX NJERU WANDANI wa Rais William Ruto walisherekea mapinduzi yaliyotekelezwa katika chama cha Jubilee jana Ijumaa...