• Nairobi
  • Last Updated May 29th, 2023 9:37 PM

Raila njiapanda kuhusu muafaka akionekana ‘mateka’

NA WANDERI KAMAU KINARA wa muungano wa Azimio la Umoja, Raila Odinga, yuko kwenye njiapanda kuhusu mwelekeo atakaofuata katika kutatua...

MDG yamsuta Raila kwa kupinga ‘tiba’ ya bungeni

NA CHARLES WASONGA KIONGOZI wa chama cha Movement for Democracy and Growth (MDG) David Ochieng’ amepinga vikali pendekezo la kiongozi...

Hotuba za Ruto na Raila zakosa ladha ya ugali

NA CHARLES WASONGA IMEBAINIKA kuwa masilahi ya walalahoi hayakupewa uzito na Rais William Ruto na kiongozi wa upinzani Raila Odinga kwenye...

Raila awaka, Duale amchemkia

NA CHARLES WASONGA WAZIRI wa Ulinzi Aden Duale amemshutumu kiongozi wa upinzani Raila Odinga kwa kupendekeza kuwa mazungumzo kuhusu...

Hofu KK na Azimio kuhusu mapatano

NA WANDERI KAMAU BAADHI ya viongozi katika kambi za Kenya Kwanza na Azimio la Umoja-One Kenya wamepatwa na tumbojoto baada ya Rais...

Masharti makali ya Raila kwa Serikali

BENSON MATHEKA Na LEONARD ONYANGO RAIS William Ruto na kinara wa Azimio la Umoja-One Kenya, Bw Raila Odinga wamelegeza...

KK yamgeuza Raila kiini cha mahubiri

NA WANDERI KAMAU MRENGO wa Kenya Kwanza umejipata lawamani kwa kugeuza hafla zote za maombi ambazo viongozi wake wamekuwa...

Mwisho wa maandamano ni Jumatatu – Gachagua

NA CHARLES WASONGA NAIBU Rais Rigathi Gachagua ameonya kuwa Jumatatu, Aprili 3, 2023 ndio itakuwa siku ya mwisho kwa muungano wa Azimio...

Diwani afariki baada ya vurugu kuzuka mkutanoni

NA SHABAN MAKOKHA DIWANI (MCA) wa Kisa Mashariki  Stephen Maloba amefariki dunia baada ya wahuni kumvamia na kumdunga kwenye farakano...

Masuala Manne Makuu: Raila asimama kidete

JUSTUS OCHIENG Na ROSELYNE OBALA KIONGOZI wa upinzani, Bw Raila Odinga alisimama kidete na kusisitiza wanayotaka yatekelezwe na serikali...

Raila akaa ngumu, ampuuza Kindiki

NA CECIL ODONGO KINARA wa Azimio la Umoja-One Kenaya, Bw Raila Odinga haonekani kulegeza kamba katika maasi yake dhidi ya serikali licha...

Raila aongeza kasi ya maandamano jijini

NA MWANDISHI WETU KIONGOZI wa Azimio La Umoja-One Kenya amesema ni muhimu Katiba ifanyiwe marekebisho ili mbunge anayenunuliwa aende...