Mzigo mzito kwa mabega ya Raila

NA LEONARD ONYANGO KINARA wa Azimio Raila Odinga anakabiliwa na mzigo mzito huku akiendeleza juhudi zake za kupambana na serikali. Bw...

Raila awashauri wabunge wa Azimio wawe wakiomba idhini yake kabla ya kukutana na Ruto

NA CHARLES WASONGA KIONGOZI wa ODM Raila Odinga amesisitiza kuwa wabunge walioenda Ikulu kukutana na Rais walifaa kupata idhini kutoka kwa...

Rais anasa samaki wakuu katika ODM

ONYANGO K’ONYANGO na LEONARD ONYANGO RAIS William Ruto amechukua hatua za kupasua chama cha ODM katika juhudi za kulemaza kisiasa kinara...

Raila atorokwa zaidi na wabunge wa ngome yake ya Luo Nyanza, Langata

NA CHARLES WASONGA RAIS William Ruto anaendelea kusambaratisha upinzani kwa kuvutia wabunge na maseneta wa vyama tanzu katika muungano wa...

Gusa Uhuru uone, Raila aonya Ruto

NA WANDERI KAMAU VIONGOZI wa muungano wa Azimio la Umoja jana Jumapili walimuonya Rais William Ruto na uongozi wa serikali ya Kenya...

Vuguvugu jipya tishio kwa Azimio

WANDERI KAMAU NA VALENTINE OBARA HATUA ya viongozi wa upinzani kutangaza kuunda vuguvugu jipya jana, imezidisha kiza kuhusu hatima ya...

Ruto afuata nyayo za mtangulizi wake

NA BENSON MATHEKA KAULI ya Rais William Ruto kwamba atahakikisha wanaofadhili mikutano ya Azimio la Umoja-One Kenya wamelipa ushuru...

Kioni asema katu hahami Jubilee hata abaki pekee

NA JAMES MURIMI KATIBU Mkuu wa chama cha Jubilee, Bw Jeremiah Kioni amesema hatajali hata kama atakuwa kiongozi wa pekee kubaki katika...

Kenya Kwanza yataka kampuni za Uhuru zianze kulipa ushuru

NA COLLINS OMULO BAADHI ya maseneta wa Kenya Kwanza sasa wanaitaka serikali ishurutishe familia ya rais mstaafu Uhuru Kenyatta (pichani)...

Ruto amtaka Raila aeleze madai yake kwa uwazi zaidi

NA WAANDISHI WETU MAKABILIANO kati ya Rais William Ruto na kinara wa Muungano wa Azimio la Umoja-One Kenya, Bw Raila Odinga, hayaonekani...

Raila amtemea Ruto moto kuhusu kura

NA BENSON MATHEKA KIONGOZI wa Azimio la Umoja One Kenya Raila Odinga anaonekana kufaulu kumwekea mtego Rais William Ruto kupitia maagizo...

Raila akemea Chebukati

NA CHARLES WASONGA KIONGOZI wa Azimio la Umoja-One Kenya Raila Odinga amekana madai ya aliyekuwa mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi na...