• Nairobi
  • Last Updated April 25th, 2024 1:47 PM

Sababu za Raila kukutana na Wanjigi

NA WANDERI KAMAU KIONGOZI wa Azimio la Umoja, Bw Raila Odinga, ameanza juhudi za kuwatafuta washirika wapya wa kisiasa, baada ya urafiki...

Kalonzo, Karua vitani kuhusu kubuniwa kwa ‘Kamwene’

NA WANDERI KAMAU MIZOZO inayoukumba mrengo wa Azimio la Umoja inaonekana kuendelea kudorora, baada ya kiongozi wa Wiper, Bw Kalonzo...

Raila na Wanjigi: Urafiki wa presha inapanda, presha inashuka

NA NDUBI MOTURI KIONGOZI wa Azimio la Umoja-One Kenya Raila Odinga mnamo Jumanne alikutana na kiongozi wa chama cha Safina Jimi Wanjigi,...

2027: Mawaziri watumia kandanda kujipanga?

NA WANDERI KAMAU JE, huenda mawaziri katika serikali ya Rais William Ruto wameanza mikakati ya kujitayarisha kisiasa ielekeapo 2027...

Mlima Kenya: Mwindaji wa kisiasa anayekosa ‘mbwa kiongozi’

NA WANDERI KAMAU WAKATI Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta aliondoka uongozini Septemba 2022, mojawapo ya maswali yaliyoibuka ni kuhusu yule...

Wamuchomba adai Mlima Kenya hawajaonja matunda ya KKA

NA WANDERI KAMAU MBUNGE wa Githunguri Gathoni Wamuchomba, ameikosoa vikali serikali ya Kenya Kwanza inayoongozwa na Rais William Ruto,...

Pauline Njoroge ateuliwa mwangalizi wa uchaguzi Bangladesh

NA WANDERI KAMAU BLOGA Pauline Njoroge ameteuliwa kuwa miongoni mwa wataalamu kutoka Jumuiya ya Madola watakaohudumu kama waangalizi...

Raila kwa Ruto: Umevuka mstari mwekundu

FARHIYA HUSSEIN Na ANTHONY KITIMO KIONGOZI wa chama cha Orange Democratic Movement (ODM) Raila Odinga amemuambia Rais William Ruto...

Hiyo Nadco Azimio tulitoka bure, asema Karua

NA CHARLES WASONGA KIONGOZI wa Narc-Kenya Martha Karua amesema kuwa muungano wa Azimio La Umoja-One Kenya ulitoka mikono mitupu katika...

Ndindi Nyoro asuta Jubilee kwa kutishia kumng’oa Ruto

NA LABAAN SHABAAN MBUNGE wa Kiharu Ndindi Nyoro amepuuzilia mbali vitisho vya chama cha Jubilee akisema ni chama kidogo sana kujaribu...

Raila: Ni Krismasi ya mahangaiko

NA EVANS JAOLA HUKU Wakenya wanapojiandaa kusherehekea Krismasi, kiongozi wa Azimio La Umoja-One Kenya Raila Odinga, amesema  Wakenya...

Uhuru arusha chambo kwa Mlima Kenya wapende tena Jubilee

NA MWANGI MUIRURI ALIYEKUWA mbunge wa Ndaragwa Bw Jeremiah Kioni amefichua kuhusu mikakati mipya ya Rais mstaafu Uhuru Kenyatta ya...