Hakuna ithibati kura za Trump ziliibwa – Wakuu wa uchaguzi

NA AFP MAAFISA wakuu wa uchaguzi nchini Amerika, Alhamisi walisema kwamba hakuna ushahidi kwamba kura za urais zilipotea, kubadilishwa...

FAUSTINE NGILA: Heko Twitter na Facebook kuzima tetesi za Trump

NA FAUSTINE NGILA Katika uandishi wangu, nimekuwa nikiikemea mitandao ya kijamii kwa kuchangia pakubwa kwa kuenea kwa habari za...

Utawala wa Donald Trump wajiandaa kwa awamu ya pili ya urais

Na MASHIRIKA IKULU ya White House inaendelea kuwapiga msasa watu ambao huenda wakahudumu katika muhula wa pili wa Donald Trump ambaye...

Trump azidi kukaa ngumu

BENSON MATHEKA Na AFP Rais wa Amerika, Donald J Trump amekataa kukubali kushindwa kwenye uchaguzi wa urais hata baada ya mpinzani wake...

MAUYA O’MAUYA: Demokrasia ni kama rinda, kila taifa huvaa linaloifaa

Na MAUYA O'MAUYA Ukiona vyaelea vimeundwa. Ndivyo ilivyo kwa nchi ya Amerika katika masuala ya utawala wa Kidemokrasia tangu...

Dunia yapumua

VALENTINE OBARA na MASHIRIKA ILIKUWA ni furaha ulimwenguni kote mashirika ya habari Amerika yalipotangaza kuwa Joe Biden ametwaa urais...

Trump azimwa

Na AFP WASHINGTON D.C., Amerika VITUO kadhaa vya runinga nchini Amerika vilikatiza kupeperusha moja kwa moja hotuba ya Rais Donald...

Trump awashangaza walimwengu kulia kuibiwa kura kabla ya hesabu

Na MASHIRIKA WASHINGTON D.C., Amerika RAIS Donald Trump alishangaza ulimwengu Jumatano alipojitokeza kutangaza kwamba ameshinda kura...

Trump arejea katika ofisi yake ya Oval baada ya huduma za kimatibabu kumsaidia kukabili Covid-19

Na SAMMY WAWERU na MASHIRIKA RAIS wa Amerika Donald Trump amerejea katika ofisi ya Oval ilioko katika Ikulu ya White House, chini ya...

Trump ‘ashindwa kupumua’ baada ya kurudi White House

Na MASHIRIKA WASHINGTON DC, Amerika RAIS wa Amerika Donald Trump jana Jumanne alionekana “aking’ang’ana kupumua” huku akiwa...

Trump akiri kuambukizwa corona kumemtatiza sana

Na MASHIRIKA WASHINGTON DC, Amerika RAIS wa Amerika Donald Trump ambaye amelazwa hospitalini baada ya kuambukizwa virusi vya corona,...

MUTUA: Itakuwa kibarua kudhibiti Trump na Biden mijadalani

Na DOUGLAS MUTUA NIMETAFAKARI kuhusu mojawapo ya mbinu ambazo zinapendekezwa ili kumdhibiti Rais Donald Trump wa Marekani wakati wa...