Wakazi walia vibanda vya video vinawaharibia watoto

Na TITUS OMINDE WAZAZI na walezi mjini Eldoret wanataka serikali ivifunge vyumba vyote vya kuonyesha video. Wanasema vyumba hivyo...

Mkutano wa BBI Eldoret wafutwa

ERIC MATARA na ONYANGO K’ONYANGO MKUTANO wa kuupigia debe Mpango wa Maridhiano (BBI), ambao ulikuwa umeratibiwa kufanyika mjini...

Washukiwa wanne wa uhalifu wauawa Eldoret

Na TITUS OMINDE MAAFISA wa polisi mjini Eldoret wamewapiga risasi na kuwaua watu wanne ambao walishukiwa kuwa wahalifu waliokuwa...

Dominic Kimengich ateuliwa kuwa Askofu wa Dayosisi ya Eldoret

Na JEREMIAH KIPLANG'AT PAPA Francis wa Kanisa Katoliki amemteua Dominic Kimengich kuwa Askofu wa Dayosisi ya Eldoret, wadhifa uliobaki...

BI TAIFA MEI 02, 2019

Anayetupambia ukurasa wetu ni Faith Bitok 21. Yeye ni mwanafunzi kutoka Chuo Kikuu cha Moi Eldoret. Uraibu wake ni kupika, kuogelea na...

Jela miezi 6 kwa kupanda bangi kanisani akidai ni maua

Na TITUS OMINDE MWANAUME mmoja alifungwa jela Jumatatu na mahakama ya Eldoret baada ya kupatikana na hatia ya kupanda mmea wa bangi...

Mwanamke ashangaza korti kusamehe madume 5 waliombaka

Na TITUS OMINDE MWANAMKE aliyekuwa amedai kubakwa na wanaume watano, Alhamisi alishangaza Mahakama ya Eldoret alipoondoa malalamiko...

Timu 50 za kimataifa kushiriki mashindano ya voliboli Eldoret

Na GEOFFREY ANENE ZAIDI ya timu 50 kutoka mataifa sita zimetoa ithibati ya kuwania ubingwa wa mashindano ya kimataifa ya voliboli ya Amaco...

Madaktari watoa sindano 7 kutoka tumbo la mtoto

TITUS OMINDE na DENNIS LUBANGA MADAKTARI katika Hospitali ya Mafunzo na Rufaa ya Moi (MTRH) mjini Eldoret wamefanikiwa kutoa sindano...

Ruto ajikumbusha maisha ya ‘uhasla’

DPPS na BERNARDINE  MUTANU NAIBU Rais William Ruto Jumamosi alijikumbusha siku za kuwa ‘hasla’ kwa kutembelea Kambi Kuku mjini...

Kizaazaa kortini DNA kuonyesha mama ndiye mzazi halisi wa mtoto ‘aliyeiba’

Na TITUS OMINDE KULIKUWA na sarakasi katika mahakama ya Eldoret Jumatatu pale mahakama ilipoamuru kuwa mama ambaye alishtakiwa kuiba...