Mwanamume aliyenyimwa kitambulisho kulipwa fidia

Na BRIAN OCHARO SERIKALI imeagizwa kumlipa mwanamume mwenye umri wa miaka 54, fidia ya Sh500,000 kwa kukosa kumbadilishia kitambulisho...

Zogo lakumba fidia ya wavuvi Lamu

Na KALUME KAZUNGU UTATA umeibuka kuhusu ulipaji fidia kwa wavuvi walioathirika na ujenzi wa Bandari ya Lamu, baada ya kuibuka kuwa...

Serikali italipa fidia ya Sh14 bilioni kwa walioshambuliwa na wanyamapori – Balala

Na ALEX KALAMA WAZIRI wa Utalii, Bw Najib Balala amehimiza Shirika la Wanyamapori (KWS), kujenga uhusiano mwema na jamii kwa...

Ulipaji fidia kwa wakazi wa Lamu ni kabla ya Juni

Na ANTONY KITIMO Wakazi wa Lamu walioathiriwa na ujenzi wa bandari sasa wanaweza kutabasamu baada ya Mamlaka ya Bandari ya Kenya (KPA)...

Wakazi wa Gatundu Kaskazini wataka walipwe fidia

Na LAWRENCE ONGARO WAKAZI wa Gatundu Kaskazini waliandamana mnamo Jumanne hadi katika bwawa la Kariminu wakitaka walipwe kiasi cha fedha...

Kaunti yaanza kuwalipa fidia wakazi wa Buxton

Na SIAGO CECE SERIKALI ya Kaunti ya Mombasa imeanza kuwalipa pesa wakazi wa Buxton ili kuwasaidia kuhamia kwingineko baada ya nyumba zao...

Mwanamume kulipwa Sh700,000 kwa kulea mtoto ambaye aligundua baadaye si wake

Na PHILIP MUYANGA MAHAKAMA Kuu mjini Mombasa imeagiza mwanamume alipwe Sh700,000 kwa kumlea mtoto ambaye aligundua baadaye kuwa si...

Kibicho, IEBC waagizwa kulipa familia Sh8m

Na JOSEPH WANGUI MAHAKAMA imemwagiza Katibu wa Wizara ya Usalama wa Ndani, Dkt Karanja Kibicho na Afisa Mkuu Mtendaji wa Tume Huru ya...

Hatimaye serikali kumfidia Amrouche Sh108m

Na GEOFFREY ANENE SERIKALI itagharamia fidia ya Adel Amrouche ya Sh108 milioni baada ya Shirikisho la Soka nchini Kenya kukatiza...

Familia ya aliyeliwa na fisi yataka fidia kutoka kwa serikali

Na LAWRENCE ONGARO FAMILIA moja katika kijiji cha Ndarugu-Komo, Kaunti ya Kiambu, inalilia haki baada ya mwanamume mmoja katika familia...

Wazazi wa Kyanguli hatimaye wafidiwa Sh53m

Na LILLIAN MUTAVI WAZAZI ambao wanao waliangamia kwenye mkasa wa moto katika Shule ya Wavulana ya Kyanguli, Kaunti ya Machakos jana...

Mama ‘mafichoni’ baada ya kulipwa fidia ya ujenzi wa bwawa la Kariminu

Na LAWRENCE ONGARO FAMILIA moja katika kijiji cha Buchana, Gatundu Kaskazini, inaiomba serikali kuingilia kati baada ya mzazi kwenda...