Matumaini Wakenya 300 kulipwa fidia ya Sh440b

Na KEVIN J. KELLEY akiwa NEW YORK, Amerika MATUMAINI ya Wakenya 300 walioathiriwa na shambulio la kigaidi, llililotekelezwa katika...

Mwanahabari wa Standard kulipwa Sh9m kwa kuchafuliwa jina

Na MAUREEN KAKAH UAMUZI wa mahakama ambapo wanawake wawili waliagizwa kumlipa fidia mwanahabari mmoja Sh9 milioni huenda ukazua maswali...

2007/8: Wengi waliolipwa fidia baada ya machafuko walikuwa wakora

Na Joseph Openda KIKUNDI cha wakimbizi wa ndani kwa ndani kufuatia ghasia za baada ya uchaguzi wa 2007 kinaitaka mahakama kuishurutisha...

UTAMADUNI: Ngombe 14 wanatosha kufidia kifo cha mwana – Familia

Na PIUS MAUNDU FAMILIA ya mwanaume aliyeuwawa kutokana na mzozo wa Sh50 katika katika Kaunti ya Makueni, imekubali kupokea ng’ombe 14...

Mchujo mpya kwa wavuvi 4000 kabla ya kufidiwa na LAPSSET

NA KALUME KAZUNGU WAVUVI zaidi ya 4000 walioathiriwa na ujenzi wa mradi wa bandari mpya ya Lamu (LAPSSET) sasa watalazimika kupitia upya...

AWAMU YA PILI YA SGR: Wakazi walalamikia athari za mradi Kajiado

Na CHARLES WASONGA KUNDI la wakazi wa Kaunti ya Kajiado limewasilisha malalamishi katika bunge la Seneti wakitaka ujenzi wa awamu ya...

Jambazi ataka fidia ya Sh270 milioni kwa kupigwa risasi akiiba

Na MASHIRIKA BROOKLYN, AMERIKA JAMBAZI aliyepigwa risasi na mwenye duka alipopatikana peupe akipora duka la mvinyo, anataka alipwe ridhaa...

Wakili wa Misri ataka Ramos atozwe fidia ya Sh120 bilioni kwa kumtendea Salah unyama

Na CHRIS ADUNGO WAKILI mmoja nchini Misri sasa amewasilisha kesi kortini akitaka fidia ya Sh120 bilioni dhidi ya difenda wa Real Madrid...

Baada ya kutemwa, kocha huyu ameshangaza kudai fidia ya Sh1 pekee!

Na GEOFFREY ANENE BADALA ya kupigania mabilioni baada ya kufurushwa na timu ya taifa ya soka ya wanaume ya Japan, kocha Vahid...

ODM kupigania fidia kwa jamii zote zilizopoteza jamaa

Na BARACK ODUOR KINARA wa upinzani Raila Odinga amewaomba wabunge wa ODM kumsaidia kupitia bungeni kuhakikisha familia zilizopoteza...

Wenye ardhi wataka wafidiwe

NA KALUME KAZUNGU WAMILIKI wa ardhi zilizotengewa ujenzi wa kiwanda cha nishati ya upepo katika eneo la Baharini, tarafa ya Mpeketoni,...

Matano aitaka Ingwe imfidie Sh4.9 milioni kwa kumsimamisha kazi

Na GEOFFREY ANENE KOCHA Robert Matano anataka fidia ya Sh4.9 milioni kutoka kwa klabu ya AFC Leopards iliyomsimamisha kazi kabla ya...