Ingwe imani tele itafufuka timu zikijiandaa kwa ligi

Na CECIL ODONGO AFC Leopards leo ina matumaini tele ya kutokomeza wimbi la matokeo duni itakapochuana na Ulinzi Stars kwenye mechi ya...

Sababu ya mashabiki wa Ingwe kukosa imani na Rupia

Na GEOFFREY ANENE Mashabiki wa AFC Leopards wamemlia sana mshambuliaji Elvis Rupia baada ya kupoteza penalti timi hiyo ikilimwa na...

K’Ogalo, Ingwe kusakata mechi zao za ligi KPL

Na JOHN ASHIHUNDU LICHA ya matatizo ya kifedha yanayokumba timu za Gor Mahia na AFC Leopards baada ya wadhamini wao SportPesa kujiondoa,...

Kamati yaundwa kupokeza mamlaka Ingwe

Na JOHN ASHIHUNDU Muungano wa wawaniaji wa nyadhifa mbalimbali kwenye uchaguzi ujao wa klabu ya AFC Leopards, kwa ushirikiano na...

Hatimaye Ingwe yapata mnyonge wa kunyonga

NA GEOFFREY ANENE AFC Leopards ilimaliza ukame wa mechi tano bila ushindi kwa kulipiza kisasi dhidi ya Mount Kenya United katika ushindi...

#MashemejiDerby: Kivumbi Kasarani

Na GEOFFREY ANENE Kivumbi kinatarajiwa katika mechi inayosubiriwa kwa hamu kubwa katika kalenda ya soka ya Kenya wakati mahasimu wa...

Msisimko Ingwe na Gor zikionana tena debi ya KPL

Na JOHN ASHIHUNDU MAHASIMU wa jadi, AFC Leopards na Gor Mahia watakutana Jumapili kwa mara ya mwisho msimu huu katika mechi ya mkondo wa...

Nzoia kualika Stima, Leopards ikichuana na Sharks gozini KPL

Na CHRIS ADUNGO NZOIA Sugar watakuwa na kocha mpya watakaposhuka dimbani hii leo Jumatano kuvaana na Western Stima katika mchuano wa Ligi...

KPL kutoa uamuzi kuhusiana na gozi la Leopards, SoNy

Na GEOFFREY ANENE MECHI ya mkondo wa pili ya Ligi Kuu kati ya SoNy Sugar na AFC Leopards inatarajiwa kuamuliwa leo Jumanne ama kama...

Leopards na Nzoia zatamba, Rangers ikishuka zaidi KPL

Na GEOFFREY ANENE AFC Leopards na Nzoia Sugar ndizo klabu zilizoimarika zaidi kwenye jedwali la Ligi Kuu baada ya mechi za raundi ya 21...

Ingwe mawindoni kusafisha rekodi yake duni dhidi ya Stima

Na GEOFFREY ANENE AFC Leopards inatarajiwa Jumamosi kuwa na kibarua kigumu dhidi ya Western Stima itakapoalika klabu hii kutoka kaunti ya...

Mashabiki wazidi kutamaushwa na matokeo ya Ingwe

Na GEOFFREY ANENE MASHABIKI wa AFC Leopards sasa wanajiuliza “timu yetu ilikosea wapi?” baada ya vichapo kuizidi huku ligi...