Mvutano baina ya Ingwe na FKF kuhusu debi ya Mashemeji

Na CECIL ODONGO UONGOZI wa Klabu ya AFC Leopards umesisitiza kwamba mchuano mkali wa debi kati yao na mahasimu wao wa tangu jadi Gor...

Ingwe yawinda mshambuliaji wa Nzoia Sugar

Na JOHN ASHIHUNDU KLABU ya AFC Leopards inapanga kuvamia ngome ya Nzoia Sugar kumnasa mshambuliaji matata, Elvis Rupia. Ripoti zimesema...

Sare ya 2-2 dhidi ya Nakumatt yatamausha mashabiki wa Ingwe

Na GEOFFREY ANENE MASHABIKI wa AFC Leopards hawana raha kabisa baada ya timu yao kukabwa 2-2 na Nakumatt na kumaliza mechi ya nane bila...

Kitambi atajwa kocha bora wa mwezi KPL

Na JOHN ASHIHUNDU Kocha wa AFC Leopards anayeondoka, Dennis Kitambi ametawazwa Kocha Bora wa Mwezi Aprili KPL. Katika uteuzi huo...

Gor yaibwaga Ingwe kuchuana na Hull City Mei 13

Na GEOFFREY ANENE GOR Mahia imeimarisha rekodi yake ya kutoshindwa na AFC Leopards hadi mechi tano baada ya kuichapa kwa njia ya penalti...

Mshindi kati ya Gor na Ingwe kuumiza nyasi dhidi ya Hull City Mei 13

Na CECIL ODONGO KLABU ya Hull City ya Uingereza itapambana na mshindi kati ya wapambe wa ligi Gor Mahia na AFC Leopards katika mechi...

Ingwe wakaribia kujaza pengo la Kitambi

Na CHRIS ADUNGO MABINGWA mara 13 wa Ligi Kuu ya KPL, AFC Leopards, wamefichua kwamba wako pua na mdomo kupata huduma za mkufunzi mpya...

Ingwe yaponea kichapo

Na GEOFFREY ANENE AFC Leopards imetoka nyuma mabao mawili na kulazimisha sare ya 2-2 dhidi ya Nzoia Sugar kwenye Ligi Kuu mjini Mumias,...

Matano aitaka Ingwe imfidie Sh4.9 milioni kwa kumsimamisha kazi

Na GEOFFREY ANENE KOCHA Robert Matano anataka fidia ya Sh4.9 milioni kutoka kwa klabu ya AFC Leopards iliyomsimamisha kazi kabla ya...

Gor kuvaana na Kariobangi huku Ingwe ikikabiliana na Ulinzi

NA CECIL ODONGO  Ligi kuu ya KPL inarejelewa wikendi hii klabu za Gor Mahia  na AFC leopards zikishuka dimbani baada ya kushiriki...

Mechi ya Ingwe dhidi ya Wazito yaahirishwa

[caption id="attachment_1272" align="aligncenter" width="800"] Duncan Otieno (kulia) wa AFC Leopards apambana na Piepre Michael Tavina...

AFC Leopards pabaya katika CAF baada ya kukubali sare

[caption id="attachment_1272" align="aligncenter" width="800"] Duncan Otieno (kulia) wa AFC Leopards apambana na Piepre Michael Tavina...