Ingwe wajinyanyua KPL

NA CECIL ODONGO AFC Leopards Alhamisi waliandikisha ushindi wao wa pili kwenye ligi kwa kuicharaza Chemelil Sugar 2-1 katika uga wa Moi...

Mashabiki waitaka Ingwe iwagware Rangers kukomesha matokeo duni

Na GEOFFREY ANENE MASHABIKI wa AFC Leopards wameiomba imalize ukame wa mechi nane bila ushindi kwenye Ligi Kuu itakapoalikwa na Posta...

Mashabiki wa Ingwe wakaribisha kocha mpya kwa matusi na vitisho

Na GEOFFREY ANENE MASHABIKI wamemkaribisha kocha mpya wa AFC Leopards Marko Vasiljevic na mshambuliaji mpya Lawrence Luvanda shingo upande...

Ingwe kujaribu kukata kiu ya ushindi ikikutana na Rangers

Na Geoffrey Anene AFC Leopards itarejea ulingoni kuzichapa dhidi ya Posta Rangers hapo Septemba 15 ikitafuta kufuta vichapo ilivyopokea...

Ingwe yang’olewa kucha na Wazito FC

Na Geoffrey Anene AFC Leopards ilitupa uongozi wa bao moja na kushangazwa 2-1 na Wazito katika mechi za raundi ya 29 za Ligi Kuu...

Presha ya mashabiki kwa Ingwe irarue Wazito FC

Na Geoffrey Anene MASHABIKI wa AFC Leopards wametaka timu yao imalizie hasira yake kwa Wazito FC zitakapokutana katika mechi ya Ligi Kuu...

#MashemejiDerby: Ingwe yalenga kuigwara Gor bila kucha za Odera

Na GEOFFREY ANENE AFC Leopards itakosa mfumaji wake hodari Ezekiel Odera itakapokuwa ugenini dhidi ya mahasimu wa tangu jadi Gor Mahia...

Zapata atasalia kuinoa Ingwe – Mule

NA CECIL ODONGO MWENYEKITI wa AFC Leopards Dan Mule amemhakikishia kocha Rodolfo Zapata uungwaji mkomo na kusisitiza kwamba klabu hiyo...

Kinara wa Ingwe apongeza timu kwa bao moja dhidi ya Vihiga

Na CECIL ODONGO MWENYEKITI wa AFC Leopards Dan Mule amewapongeza wachezaji wa timu hiyo kufuatia ushindi walioutwaa dhidi ya Vihiga United...

Zapata ajipiga kifua Ingwe itaitafuna Gor Jumapili

Na CECIL ODONGO Mjadala wa nani jabali wa soka  nchini kati ya Klabu za GorMahia na AFC Leopard umeibuka tena baada ya kocha wa ingwe...

Ingwe wawinda Mnigeria anayesakata Uganda

Na JOHN ASHIHUNDU Baada ya juhudi zao za kumpata straika Elvis Rupia wa Nzoia United kuambulia patupu, huenda AFC Leopards ikamsaini raia...

Ingwe yaahidi kuhifadhi makinda wake wote

Na JOHN ASHIHUNDU Klabu ya AFC Leopards haitawaruhusu wachezaji wake chipukizi kuondoka klabuni kipindi hiki cha wachezaji kubadilisha...