Biden akemea Otrega kuwafunga wapinzani wake

WASHINGTON, Amerika Na AFP Rais Joe Biden wa marekani ameushutumu uchaguzi wa urais Nicaragua akisema ulikuwa “mzaha”, huku rais...

Viongozi kukongamana kwa mkutano wa UNGA

Na AFP NEW YORK, Amerika VIONGOZI wa ulimwengu wiki hii watakongamana katika makao makuu ya Umoja wa Mataifa (UN) jijini New York,...

Biden aipapura Facebook kutozima habari za uongo kuhusu corona

Na AFP WASHINGTON DC, Amerika RAIS wa Amerika, Joe Biden ameonya kwamba uenezaji wa habari za uongo kupitia mitandaoni hasa Facebook...

Rais Biden sasa ataka Israeli isitishe mashambulio Gaza

Na MASHIRIKA GAZA, Palestina RAIS wa Amerika Joe Biden, Jumanne alieleza hisia zake kuhusu kusitishwa kwa mapigano baada ya siku nane...

Mbwa wa Biden kupewa mafunzo mapya

Na AFP MBWA wa Rais wa Amerika Joe Biden, anayefahamika kama Major, atapelekwa kupokea mafunzo zaidi kuhusu jinsi ya kuwa na tabia ya...

Tangatanga washabikia ‘uhasla’ wa Rais Biden

Na BENSON MATHEKA WANDANI wa Naibu Rais William Ruto wamefurahishwa na kauli ya Rais wa Amerika, Bw Joe Biden ya kukumbatia mfumo wa...

Biden aondoa marufuku ya Trump kuhusu uavyaji mimba

Na AFP WASHINGTON DC, Amerika RAIS Joe Biden ameondoa marufuku yaliyozuia Amerika kutoa misaada ya kifedha kwa mashirika ya ng’ambo...

Demokrasia imeshinda, asema Biden baada ya kuapishwa kuwa Rais

CHARLES WASONGA NA MASHIRIKA NI rasmi sasa kwamba Joe Biden ndiye Rais wa 46 wa Amerika baada ya kula kiapo cha afisi Jumatano, Januari...

Ulinzi mkali mmoja akinaswa akiwa na bastola, risasi 500 eneo Biden ataapishwa kuwa Rais

Na AFP MWANAMUME aliyejihami kwa bastola na risasi zaidi ya 500 alikamatwa jijini Washington katika kituo cha ukaguzi wa kiusalama...

Watu wachache kualikwa kuhudhuria hafla ya Biden kuapishwa

Na XINHUA WASHINGTON D.C., Amerika KAMATI ya Bunge la Congress ambalo linahusika na mchakato wa maandalizi ya sherehe za kumwaapisha...

Biden kutaja baraza lake la mawaziri Jumanne

Na AFP WASHINGTON D.C., Amerika RAIS mteule wa Amerika Joe Biden Jumanne, Novemba 24, 2020, atataja majina ya wale watakaohudumu...

MAUYA O’MAUYA: Demokrasia ni kama rinda, kila taifa huvaa linaloifaa

Na MAUYA O'MAUYA Ukiona vyaelea vimeundwa. Ndivyo ilivyo kwa nchi ya Amerika katika masuala ya utawala wa Kidemokrasia tangu...