Wakenya wabebe mzigo wa mafuta ghali bila kulalamika – Moses Kuria

Na PETER MBURU Mbunge mbishi wa Gatundu Kusini amewaghadhabisha Wakenya, baada ya kusema kuwa hawezi kuwatetea kutokana na kupandishwa kwa...

Kuria ajuta kumsimanga Raila

Na BENSON MATHEKA MBUNGE wa Gatundu Kusini, Moses Kuria, amefichua kuwa licha ya tabia yake ya kumkashifu kiongozi wa upinzani Raila...

Kuria akaangwa kusema Obama alitoa hotuba ya kudhalilisha Nyanza

NA PETER MBURU Mbunge wa Gatundu Kusini Moses Kuria amejipata kubanwa na Wakenya katika mtandao wa Facebook, baada ya kuchapisha ujumbe wa...

Wasiwasi mpya wa mgawanyiko wazuka Jubilee

WYCLIFF KIPSANG, ONYANGO K’ONYANGO na LUCY KILALO MATAMSHI yanayokisiwa kuwa ya mbunge wa Gatundu Kusini Moses Kuria, yameendeleza...

NYS yafaa kuvunjwa na fedha hizo kufadhili elimu – Moses Kuria

NA PETER MBURU WAKENYA kupitia mitandao ya kijamii wamechangamkia pendekezo la mbunge mtatanishi wa Gatundu Kusini Moses Kuria kuwa...

Wabunge wa Ruto Mlima Kenya wakaangwa mitandaoni

[caption id="attachment_4821" align="aligncenter" width="800"] Katuni ya kejeli iliyotundikwa mitandaoni Alhamisi. Grafiki/ Peter...

Korti yaruhusu NCIC na Kuria kusuluhisha kesi ya uchochezi

Na RICHARD MUNGUTI MAHAKAMA imemkubalia Mbunge wa Gatundu Kusini Moses Kuria kuendelea na mashauriano pamoja na Tume ya Kitaifa ya Uwiano...

Kuria apokelewa vizuri Nyanza baada ya muafaka

NA PETER MBURU MUAFAKA baina ya mkono kati ya Rais Uhuru Kenyatta na kiongozi wa ODM Raila Odinga umewanusuru viongozi wengi waliochukiwa...

OBARA: Hali halisi ya kaulimbiu ‘Vindu Vichenjanga’ katika siasa za Kenya

Na VALENTINE OBARA KAULIMBIU ya ‘Vindu Vichenjanga’ au ‘Mambo Yabadilika’ ilipovumishwa na Muungano wa NASA wakati wa Uchaguzi...

Viongozi wa Jubilee wamponda Maraga, wamsifu Matiang’i

Na PETER MBURU VIONGOZI wa Jubilee wamemkabili vikali Jaji Mkuu David Maraga kwa kutetea majaji ambao wanadaiwa kutoa maagizo ya kuzuia...