Polisi waanza kufanya uchunguzi baada ya moto kuchoma magari kwenye gereji

Na SAMMY KIMATU MAGARI 13 yakiwemo ya kifahari yaliteketea katika gereji moja eneo la Cereal Board mkabala wa barabara ya Lunga Lunga,...

FAUSTINE NGILA: Usilie ughali wa mafuta, nunua gari la kielektriki

NA FAUSTINE NGILA MAGARI mengi yanayomilikiwa humu nchini na duniani kote yanatumia dizeli au petroli, mafuta ambayo yanachafua...

AKILIMALI: Jinsi vijana watatu Mathare Kaskazini wanavyonufaika kwa kuyapaka magari rangi

Na WINNIE ONYANDO WAKIWA katika mavazi yao maalum ya kazi na mikononi wameshika mashine za kutumia wanapopaka rangi magari, vijana...

Watumishi wa serikali wasusia mikopo ya magari

Na KENYA NEWS AGENCY MAAFISA wa serikali ya kitaifa wamesusia hazina iliyoanzishwa na serikali kuwapa mikopo ya kununua magari, Afisa...

Ndoto ya MCAs kupata magari yaanza kuzimika

Na IBRAHIM ORUKO MADIWANI watangojea kwa muda mrefu kabla kupata Sh2 milioni za kununua magari ambayo waliahidiwa na Rais Uhuru...

Toyota Kenya kutuza mwanafunzi bora Sh500,000 katika uchoraji gari

Na Leonard Onyango KAMPUNI ya magari ya Toyota Kenya, imetangaza tuzo ya Sh500,000 kwa mwanafunzi atakayeibuka mshindi wa shindano la...

WHO yatoa msaada wa magari kuhamasisha umma kuhusu corona

Na DIANA MUTHEU SHIRIKA la Afya Ulimwenguni (WHO) limetoa msaada wa magari sita kwa kaunti ya Mombasa yatakayotumika kuhamasisha...

Korti yasitisha kuongezwa kwa ada ya kuegesha magari jijini Nairobi

Na RICHARD MUNGUTI MAHAKAMA Kuu Jumatatu imeamuru serikali ya Kaunti ya Nairobi isiongeze ada ya kuegesha magari hadi kesi...

Mahakama yasitisha kwa muda ada mpya iliyopandishwa ya uegeshaji magari Nairobi

Na RICHARD MUNGUTI na SAMMY WAWERU MAHAKAMA Kuu imesitisha utekelezwaji wa ada iliyopandishwa ya kuegesha magari jijini Nairobi hadi...

Magari aina ya Renault Trucks yaanza kuundiwa kiwandani KVM Thika

Na LAWRENCE ONGARO MAGARI mapya aina ya Renault Trucks yameanza kuundwa rasmi katika kiwanda cha magari cha KVM mjini Thika. Hafla...

Kenya kuwa mwenyeji wa mashindano ya mbio za dunia za magari

Na CHARLES WASONGA RAIS Uhuru Kenyatta, Ijumaa ametimiza mojawapo ya ahadi zake kuu kwa Wakenya alipotangaza kuwa mashindano ya magari...

MAZINGIRA NA SAYANSI: Moshi wa magari unaweza kusababisha upofu uzeeni

Na LEONARD ONYANGO IKIWA unaishi au kufanya kazi katika maeneo yaliyo na moshi mwingi wa magari kama vile steji ya mabasi au barabara...