Ada ya juu ya uegeshaji Nairobi yapendekezwa

NA MARY WANGARI Waendeshaji magari jijini Nairobi watakabiliwa na nyakati ngumu siku za usoni ikiwa mswada uliopendekezwa na usimamizi...

Madalali wavamia kiwanda cha pareto kupiga mnada magari

NA RICHARD MAOSI Madalali Jumamosi walivamia kampuni ya kuzalisha pareto, Kenya Processing Company tawi la Nakuru, wakitaka kupiga mnada...

Range Rover zilizoibwa Uingereza kurejeshwa

Na ANTHONY KITIMO BALOZI wa Uingereza Nchini, Bw Nic Hailey, ameagiza magari tisa yaliyoibwa na kusafirishwa nchini kupitia Bandari ya...

Krismasi ya mapema kampuni ya magari ikiwapuguzia wateja bei

NA FAUSTINE NGILA WAFANYABIASHARA na kampuni kadhaa nchini wana kila sababu ya kutabasamu baada ya kampuni moja kuwapunguzia bei ya...

Mabwanyenye Mlima Kenya wawanunulia polisi magari ya mamilioni

Na NICHOLAS KOMU MABWANYENYE kutoka eneo la Mlima Kenya wakiongozwa na Mwenyekiti wa Benki ya Equity Peter Munga wamenunua magari 26 ya...

Madiwani wasisitiza kupewa magari ya kifahari na pensheni

Na VALENTINE OBARA MADIWANI wamefufua upya wito wa kutaka wapewe pesa za kununua magari ya kifahari sawa na wabunge, na kulipwa pensheni...

Wakenya sasa wachangamkia mashangingi

Na BERNARDINE MUTANU Idadi ya magari ya kifahari yanayonunuliwa imeongezeka kwa asilimia tano katika robo ya mwanzo ya 2018. Mauzo ya...

Manvir Baryan ashinda mbio za magari Afrika Kusini

Na GEOFFREY ANENE MKENYA Manvir Baryan ameibuka mshindi wa mbio za magari za Afrika duru ya Afrika Kusini, Jumamosi. Baryan, ambaye...

Kushuka kwa bei ya Petroli kwawafaa wenye magari

Na BERNARDINE MUTANU Kwa mara ya kwanza kwa muda mrefu bei ya mafuta nchini imeshuka. Ingawa sio kwa kiwango kikubwa, huenda kiwango...

Korti yaagiza Boinnet afurushe Mnigeria kipenzi cha wanawake jijini

Na RICHARD MUNGUTI HAKIMU mkuu katika mahakama ya Nairobi Bw Francis Andayi, Jumatano alimwamuru Mkuu wa Polisi (IG) Joseph Boinnet pamoja...

Maji taka katikati ya jiji? Sonko amefeli, asema Atwoli

[caption id="attachment_4076" align="aligncenter" width="800"] Bw Francis Atwoli katika mahojiano awali. Picha/ Maktaba[/caption] Na...

Omtatah afika kortini kupinga sheria mpya kwa madereva

Na RICHARD MUNGUTI MWANAHARAKATI Okiya Omtatah amewasilisha kesi mahakamani kupinga kuzinduliwa kwa maagizo mapya kuhusu madereva. Bw...