MSIMU WA KUNUNUA BARAKA

Na CHARLES WASONGA UCHAGUZI mkuu ujao unapoendelea kukaribia, wanasiasa wanaomezea mate viti mbalimbali, hasa kile cha urais, wamekuwa...

Serikali yanyenyekea kuhusu amri kwa makanisa

Na MARY WAMBUI SERIKALI Jumatatu ililazimika kukutana na viongozi wa kidini baada ya kuweka masharti makali yaliyoonekana kukandamiza...

Corona ilivyoyasukuma makanisa kuchangamkia teknolojia

Na MWANGI MUIRURI Athari za ugonjwa hatari wa Covid-19 zimechangia kusukuma makanisa hadi kukumbatia Tenknolojia za kimawasiliano (IT)...

Onyo kwa makanisa yakome kuombaomba pesa za wanasiasa

Na DAVID MUCHUI BARAZA kuu la Makanisa nchini Kenya (NCCK) limewataka wachungaji kukoma kuombaomba michango kutoka kwa wanasiasa ili...

Wahubiri waelezea hofu yao kuhusu taharuki ya kisiasa

Na Joseph Openda BAADHI ya viongozi wa kidini katika Kaunti ya Nakuru wameelezea wasiwasi wao kufuatia kile walichosema ni ongezeko la...

Makanisa yachomwa, ukuta wapakwa kinyesi Kisii

Na SAMMY WAWERU Wakazi wa kijiji cha Otambu, Kisii ya Kati, Kaunti ya Kisii wameendelea kuzongwa na maswali chungu nzima kufuatia kisa...

Makanisa yaililia serikali kuyaruhusu kuandaa kesha za Mwaka Mpya

TITUS OMINDE na OSCAR KAKAI VIONGOZI wa kidini wanataka serikali kuondoa kafyu ili wapate nafasi ya kushiriki maombi ya mkesha wa mwaka...

BBI: Raila apuuza mapendekezo ya viongozi wa kidini

LEONARD ONYANGO Na BENSON MATHEKA KIONGOZI wa ODM Raila Odinga amepuuzilia mbali mapendekezo ya viongozi wa makanisa wanaotaka mswada wa...

Mbona mapasta huwabaka waumini?

NA WANGU KANURI BAADHI ya wazazi wamejipata wakijutia mwenendo wa kukosa kuwasikiza watoto wao, hata katika masuala yanayotishia usalama...

Makanisa yatishia kupinga BBI

Na Valentine Obara VIONGOZI wa makanisa ya kievanjelisti nchini, wameapa kufanya kampeni za kupinga mabadiliko ya katiba kupitia Mpango...

Askofu Pesa alia kupunjwa hela

CECIL ODONGO na RUSHDIE OUDIA KIONGOZI wa Kanisa la Holy Ghost Coptic, John Pesa amelalamika kwamba alichezewa shere wakati wa kupokea...

Kanisa Katoliki lapinga refarenda ya kujali wachache

Na LEONARD ONYANGO KANISA Katoliki limewataka Wakenya kukataa jaribio la kutaka kurekebisha Katiba kwa manufaa ya wanasiasa...