Kioja cha ukahaba kuvuma makanisani

Na SAMMY WAWERU Uthiru, ni mojawapo ya mitaa inayounda kaunti ya Kiambu, na ambao ramani inaonyesha unapatikana katika eneobunge la...

CORONA: Hakuna kwenda kanisani, msikitini

Na PHYLLIS MUSASIA BAADHI ya makanisa na misikiti imetangaza kusitisha ibada pamoja na shughuli nyinginezo ili kuwakinga waumini...

Mamilioni ya Ruto yagawanya makanisa

Na NDUNGU GACHANE VIONGOZI wa makanisa wamegawanyika kuhusu mikutano ya harambee ambayo Naibu Rais William Ruto amekuwa akifanya huku...

NGILA: Usimkejeli mwenzio anayetumia simu kusoma Biblia kanisani

NA FAUSTINE NGILA KWA muda mrefu sasa, athari za teknolojia kwa dini zimekuwa zikioneknana kuwa mbaya kwa waumini. Lakini imani hii...

Mhubiri wa SDA akatakata mke wa ndugu yake

Na NDUNGU GACHANE POLISI katika Kaunti ya Murang’a wanamsaka mhubiri wa kanisa la SDA, ambaye alimvamia shemeji yake na kumkatakata...

Watakaozima michango makanisani wataangamizwa na Mungu – Ruto

DERICK LUVEGA na CHARLES WASONGA NAIBU Rais William Ruto amewasuta wanasiasa wanaopanga kudhibiti michango kanisani kupitia mswada...

WANDERI: Dini ina nafasi muhimu kwa jamii, ilindwe vilivyo

Na WANDERI KAMAU NI dhahiri kuwa maabadi yoyote ni pahali patakatifu ambapo panapaswa kuheshimiwa. Licha ya tofauti nyingi zilizomo...

Raila ni mkono gamu, makanisa ya Nyanza yasema

Na RUSHDIE OUDIA BAADHI ya viongozi wa makanisa eneo la Nyanza wamemkashifu kinara wa chama cha ODM, Raila Odinga kwa kuwakataza kupokea...

Makanisa yakataa ‘siasa’ katika maabadi

Na PETER MBURU MAKANISA makuu nchini yamewaagiza viongozi wake wasiruhusu wanasiasa kupiga siasa au kuongoza harambee za kuchangisha pesa...

Wahubiri wanavyokoroga dini nchini

VALENTINE OBARA na AGEWA MAGUT SIFA ya kanisa iliendelea kuharibika Jumatatu, baada ya wahubiri wawili maarufu kuendelea kuanikwa kwa...

Askofu aunga mkono wito wa kudhibiti makanisa

Na OSBORNE MANYENGO ASKOFU wa Kanisa la Anglikana (ACK) Dayosisi ya Kitale, Dkt Emmanuel Chemengich ameunga mkono juhudi za kudhibiti...

Si visima vya maji, asema Kagame huku akifunga makanisa 6,000

Na PETER MBURU RAIS wa Rwanda Paul Kagame mapema Machi alifunga makanisa 6,000 katika taifa lake kufuatia visa vingi vya madai kuwa...