Kazi ya uchifu yaepukwa Lamu kutokana na mauaji

KALUME KAZUNGU na MISHI GONGO WAKAZI wa vijiji vya Kaunti ya Lamu ambavyo vimekuwa vikishuhudia mauaji ya mara kwa mara ya maafisa wa...

Washukiwa watano wa mauaji ya polisi wakamatwa Lamu

Na KALUME KAZUNGU WASHUKIWA watano wametiwa mbaroni kuhusiana na mauaji ya afisa wa polisi katika kijiji cha Tchundwa, Kaunti ya Lamu...

Diwani motoni kuhusu kifo cha mkewe

NICHOLAS KOMU Diwani mmoja katika Kaunti ya Nyeri alijipata mashakani huku akilazimika kujibu kuhusu kifo cha mkewe. Mwili wa mkewe...

Abambwa baada ya kumuua mwanawe

NA WYCLIFFE NYABERI Polisi katika Kaunti ya Nyamira walimkamata jamaa mmjoja kwa kosa la kumuua mwanawe wa kike mwenye umri wa miaka 4...

Polisi wageuka makuhani wa mauti wakati huu wa janga la corona

MARY WAMBUI na BENSON MATHEKA FAMILIA ya Yassin Moyo ingali na majonzi tangu ilipompoteza mnamo Machi 31 baada ya kupigwa risasi tumboni...

Mwili wa msimamizi wa majanichai wapatikana kando ya barabara

NA MWANDISHI WETU Wakazi wa Kirinyaga wameachwa na mshuto baadaya ya mfanyikazi wa kiwanda cha majani chai kupatikana ameuwawa na mwili...

Mwanamke azuiliwa akikabiliwa na shtaka la kumuua mumewe kwa sababu ya deni la Sh1,700

Na RICHARD MUNGUTI MAMA wa watoto watano alifikishwa mahakamani kwa madai alimuua mumewe kwa sababu ya deni la Sh1,700. Susan Kawira...

Mahakama yaagiza mshukiwa wa pili katika mauaji ya mtangazaji azuiliwe kwa siku tisa

Na RICHARD MUNGUTI MSHUKIWA wa pili katika mauaji ya mtangazaji wa kituo cha redio cha Pamoja FM amefikishwa kortini. Juma Hussein...

Polisi kizimbani kwa madai ya kuua mtu wakati wa kafyu

Na RICHARD MUNGUTI AFISA wa Polisi alishtakiwa kwa mauaji ya mkazi wa mtaa wa Mathare, Kaunti ya Nairobi wakati wa kushika doria za...

Simu ya kifo

Na RICHARD MUNGUTI SIMU ya saa tano usiku wa Aprili 17, 2020, kutoka kwa mwanamke ilisababisha mauti ya mume wa Zaitun Abdul, mahakama...

Ashtakiwa kumuua mpenziwe kwa kutofautiana nani alifaa kuosha vyombo

Na RICHARD MUNGUTI MWANADADA mwenye umri wa miaka 24 ameshtakiwa kwa kumuua mpenziwe walipotofautiana kuhusu ni nani aliyefaa kuosha...

Mwanamke anayeshtakiwa kumuua mpenziwe azuiliwa

Na Richard Munguti Mwanamke mwenye umri wa miaka 28 ameagizwa azuiliwe hadi Mei 2 kuhojiwa kwa mauaji ya mpenziwe. Zeitun Abdul...