Utata zaidi ripoti ikiashiria Walibora aliuawa

Na CHRIS ADUNGO POLISI sasa wameshinikizwa kutoa video za kamera za CCTV zitakazosaidia kutegua kitendawili cha kifo cha Prof Ken...

Kafyu ya mauti

Na WAANDISHI WETU IDARA ya Polisi iliendelea kushutumiwa jana, baada ya mvulana wa miaka 13 kuongeza orodha ya watu waliodaiwa kuuawa na...

Mwenye gari lililomuua mhariri wa NTV ajitetea

NA RICHARD MUNGUTI MMILIKI wa gari lililomgonga na kumuua mhariri wa video katika kituo cha televisheni cha NTV Raphael Mutuku Nzioki...

Wakuu serikalini walaumiwa kwa mauaji nchini

Na VALENTINE OBARA KIMYA cha viongozi wakuu serikalini kuhusu mauaji ya kiholela na mateso ya raia mikononi mwa maafisa wa usalama...

Polisi anayelinda ofisi ya Ruto apatikana amefariki

Na MWANDISHI WETU AFISA wa polisi anayelinda afisi ya Naibu Rais William Ruto ya Harambee Annex jijini Nairobi, Alhamisi alipatikana...

Agizo vijana wanaoua wakongwe wanaswe

Na HAMISI NGOWA MRATIBU Mkuu wa serikali ya kitaifa katika ukanda wa Pwani, Bw John Elung’ata amewaagiza makamanda wa polisi katika...

Mwili wa msichana wapatikana bila macho na ulimi

NA MERCY KOSKEY Merkoskey15@gmail.com WAKAZI wa mtaa wa Kaptebwa, Kaunti ya Nakuru waliamkia kisa cha kushangaza hapo baada ya mwili...

Serikali yatakiwa kuzima mauaji ya kiholela Pwani

MISHI GONGO na WINNIE ATIENO BARAZA la maimamu na wahubiri nchini (CIPK) limemtaka waziri wa Usalama wa Ndani Dkt Fred Matiangi, kuunda...

Machifu, wahubiri walaumiwa kwa mauaji ya wazee

Na MAUREEN ONGALA MACHIFU na wahubiri wamelaumiwa kwa mauaji ya wazee wanaodaiwa kuwa wachawi katika Kaunti ya Kilifi. Mwenyekiti wa...

Mwanamke motoni kwa kumuua mumewe mlevi

Na GEORGE MUNENE POLISI katika Kaunti ya Kirinyaga wanamzuilia mwanamke ambaye alidaiwa kumuua mumewe mlevi, kisha akaning’iniza mwili...

Pasta muuaji aliwahi kufungwa Shimo la Tewa

DERICK LUVEGA na GASTONE VALUSI PASTA aliyemuua mkewe kanisani kisha akajitoa uhai alikuwa ametumikia kifungo gerezani kwa kumtishia...

2019 ulikuwa mwaka wa mauaji ya kifamilia

Na MARY WANGARI MWAKA huu ulikumbwa na visa tele vya mauaji ya kifamilia hasa yaliyosababishwa na tofauti za kindoa. Visa hivi...