Mwana anaswa kwa mauaji ya watu 5 wa familia yake

Na BENSON MATHEKA MAAFISA wa upelelezi jana walimkamata mshukiwa mkuu anayehusishwa na mauaji ya watu watano wa familia moja Kaunti ya...

Pasta auawa kwa tuhuma za wizi wa nyeti za wanaume

Na AFP DAUDU, Nigeria AMRI ya kutotoka nje imetengazwa sehemu kadha za jimbo la Benue kufuatia kisa ambapo pasta mmoja aliuawa na...

WANDERI: Maovu yanayozuia Kenya kupiga hatua kimaendeleo

Na WANDERI KAMAU KWA wakati wote atakapoishi duniani, itakuwa vigumu sana kwa mwanadamu kusahau mchango aliotoa mwanaharakati Mahatma...

21 wauawa kwenye machafuko ya matokeo ya uchaguzi Guinea

NA AFP JUMLA ya watu 21 wameuawa katika michafuko nchini Guinea kufuatia uchaguzi wa urais unaopingwa huku wajumbe wa kimataifa...

Polisi waua watu watatu uchaguzi ukianza Tanzania

Na MASHIRIKA CHAMA kikuu cha upinzani katika kisiwa cha Zanzibar kisichojisimamia binafsi, kilisema jana kuwa watu watatu waliuawa na...

Watu 8 wauawa katika mapigano ya Legio Maria

NA IAN BYRON IDADI ya waliokufa kwenye fujo kati ya makundi mawili ya waumini wa dhehebu la Legio Maria katika Kaunti ya Migori imefika...

Obure na Ouko taabani kwa mashtaka ya kumuua Kelvin Omwenga

Na RICHARD MUNGUTI MFANYABIASHARA Chris Philip Obure pamoja na mlinzi wake Robert John Ouko Bodo wanaozuiliwa kwa mauaji ya Kelvin...

2022: Wanasiasa wachochea mauaji

FRANCIS MUREITHI NA JOSEPH OPENDA MAANDALIZI ya kuwania vyeo vya kisiasa kwenye uchaguzi mkuu wa 2022, yameibuka kuwa kiini kikuu cha...

Butwaa na majonzi wanne wakifariki kijijini

NICHOLAS KOMU na FAUSTINE NGILA Wakazi wa kijiji cha Kiamwathi Kaunti ya Nyeri walipigwa na butwaa na majonzi kufuatia kuuawa kwa watu...

Wawili wapatikana wameuawa Rongai

PHYLLIS MUSASIA NA FAUSTINE NGILA Polisi wanachunguza kisa kimoja ambapo watu wawili walipatikana wamefariki kwenye eneo la ujenzi la...

Raha yake kuua wanawake?

STEVE NJUGUNA na WAIKWA MAINA MAHAKAMA mjini Nyahururu imewaruhusu polisi kumzuilia kwa siku 21 mwanamume anayedaiwa kuhusika katika...

Wakazi sasa wahofia mauaji ya kinyama ya watoto wa kike

Na DENNIS LUBANGA MAUAJI ya kinyama ya wasichana wa kati ya umri wa miaka minane na 13 yamezua hofu katika eneo la Moi’s Bridge,...