Wahadhiri, wahudumu wa vyuo vikuu vya umma watishia kugoma

Na FAITH NYAMAI WAHADHIRI na wafanyakazi wa vyuo vikuu vya umma wametishia kulemaza masomo katika taasisi za elimu ya juu ikiwa vyuo...

Watumishi wa Kaunti kugoma ‘wasipothaminiwa’

Na COLLINS OMULO WAFANYIKAZI zaidi ya 11,000 wa Kaunti ya Nairobi wametishia kugoma ikiwa Idara ya Huduma za Jiji (NMS) na viongozi wa...

Mgomo wa wahadhiri wasitishwa kupisha mashauriano ya mishahara

Na Francis Mureithi MUUNGANO wa Wahadhiri wa Vyuo Vikuu nchini (UASU) jana ulisitisha kuwa mgomo uliotarajiwa kuanza leo huku pakiwapo...

BENSON MATHEKA: Wakenya wamechoshwa na undumakuwili wa magavana

Na BENSON MATHEKA HATUA ya magavana kukana makubaliano ambayo Wizara ya Afya iliafikiana na madaktari na maafisa wa kliniki ili wamalize...

Kagwe anapotosha Wakenya – Madaktari

WANDERI KAMAU na WAIKWA MAINA MADAKTARI na matabibu wameilaumu serikali ya kitaifa na zile za kaunti kwa kutumia mbinu chafu kwenye...

BENSON MATHEKA: Chanzo cha mgomo wa madaktari ni mapuuza

Na BENSON MATHEKA Kwa miezi minane madaktari wanaogoma wamekuwa wakizungumza na serikali kuhusu maslahi yao hasa msimu huu wa janga la...

Serikali yatisha kuwapiga kalamu madaktari wagonjwa wakizidi kuteseka

BENSON MATHEKA, DIANA MUTHEU, TITUS OMINDE na LEONARD ONYANGO HUDUMA za matibabu ziliendelea kukwama katika hospitali za umma kote...

Hofu ya maafa mgomo ukichacha

Na WAANDISHI WETU MAAFA yanawakodolea macho wagonjwa nchini baada ya wahudumu wa afya wanaogoma kuacha hospitali na vituo vya afya vya...

TAHARIRI: Mgomo wa maafisa wa afya utaleta maafa Krismasi

NA MHARIRI IKIWA madaktari wataanza mgomo wao Jumatatu hii walivyotangaza, kuna hatari ya maafa makubwa kutokea Kenya wakati huu wa...

Njoki Ndung’u alivyojitetea katika kesi ya kuongoza mgomo

Na RICHARD MUNGUTI JAJI wa Mahakama ya Juu Njoki Ndung’u  amejitetea katika kesi anayoshtakiwa Mahakama Kuu ya kuchochea mgomo...

Mgomo sasa watatiza huduma nyingi kaunti

Na BONIFACE MWANIKI HUDUMA za serikali zimekwama katika Kaunti ya Kitui kufuatia mgomo wa wafanyakazi katika idara tofauti za kaunti...

Serikali ilivyochezea wauguzi

Na BENSON MATHEKA MGOMO wa wauguzi ulianza kufifia Alhamisi baada ya kuibuka kuwa walidanganywa kwenye mkataba wa pamoja waliotia sahihi...