Wauguzi katika kaunti saba nao wajiunga na wenzao wanaogoma

Na WAANDISHI WETU WAUGUZI katika kaunti zingine saba wamejiunga na mgomo wa kitaifa ambao umeingia wiki ya tatu sasa, huku kaunti kadha...

Mgomo wa walimu wazimwa

Na RICHARD MUNGUTI MGOMO wa walimu uliotisha kusambaratisha ufunguzi wa shule zaidi ya 20,000 kote nchini ulifutiliwa mbali Jumatano na...

2019: Mgomo kuanza Alhamisi huku Knut ikikaza kamba

Na CHARLES WASONGA NI rasmi sasa kwamba shughuli za masomo katika shule zote za umma nchini zitatatizika kuanzia Alhamisi wiki hii shule...

Utata shuleni muhula ukianza

Na BENSON MATHEKA SHULE zinatarajiwa kufunguliwa kuanzia Alhamisi wiki hii huku kukiwa na utata kuhusu masuala kadhaa ambayo huenda...

2018: Mgomo wa siku 76 ulisambaratisha masomo ya wanafunzi 600,000

Na WANDERI KAMAU MWAKA huu utakuwa kama kumbukumbu kuu katika vyuo vikuu nchini, baada ya wahadhiri kushiriki katika mgomo uliodumu kwa...

Tutasambaratisha masomo Januari ‘uhamisho kiholela’ usipokomeshwa, walimu waapa

Na WANDERI KAMAU WALIMU wametangaza mgomo mkubwa wa kitaifa kuanzia Januari 2 2019, kwa kile wametaja kutozingatiwa kwa maslahi yao na...

Wauguzi wafutilia mbali mgomo

Na BENSON AMADALA WAUGUZI wamefutilia mbali mgomo wao uliokuwa umepangiwa kuanza usiku wa kuamkia Jumapili. Notisi ya mgomo huo...

Tutagoma kuanzia Novemba 21 – Wauguzi

Na ALEX NJERU KATIBU Mkuu wa Chama cha Wauguzi Kenya (KNUN), tawi la Kaunti ya Tharaka-Nithi, Bw Fabian Marigu amesisitiza kwamba mgomo...

Madaktari bondeni waruhusiwa kujifua kimasomo, watisha kugoma

MAGDALENE WANJA NA RICHARD MAOSI ZAIDI ya madaktari 30 kutoka kaunti tano za kusini mwa Bonde la Ufa wamepokea ruhusa ya kuendeleza masomo...

Serikali ndiyo chanzo cha migomo shuleni – KUPPET

Na Gaitano Pessa KATIBU Mkuu wa Chama cha Walimu wa Vyuo Anuwai (KUPPET) ameilaumu serikali kwa kuwa kiini kikuu cha kuongezeka kwa...

#EndLecturersStrike: Kero mitandaoni wanachuo wakimsihi Uhuru asuluhishe mgomo

Na PETER MBURU WANAFUNZI wa vyuo vikuu vya umma nchini wametumia mitandao ya kijamii kuonyesha ghadhabu zao, wakinuia kumfikishia Rais...

Wahadhiri waapa kutumia njia zote kuendeleza mgomo wao

Na WANDERI KAMAU WAHADHIRI wa vyuo vikuu vya umma Jumatano waliapa kutumia njia mbadala kuendeleza mgomo wao baada ya maandamano...