Ruto aingia hema la Mudavadi

Na BENSON MATHEKA NAIBU wa Rais William Ruto atatumia muungano ‘ulioundwa’ mwaka 2021 na kiongozi wa Amani National Congress (ANC)...

CECIL ODONGO: Mudavadi ataingia ikulu rahisi kupitia kwa Raila

Na CECIL ODONGO MSIMU wa kampeni kali za kisiasa umewadia huku viongozi mbalimbali wa kisiasa wakimezea viti mbalimbali. Kinara wa ANC...

Mudavadi, Weta wajianika kwa kususia hafla ya Raila

Na BENSON MATHEKA HATUA ya kiongozi wa chama cha Amani National Congress (ANC) Musalia Mudavadi na mwenzake wa Ford Kenya Moses...

CECIL ODONGO: Kauli ya Kalonzo na Mudavadi ithibati hawana haja na ikulu

Na CECIL ODONGO KAULI ya vinara wawili wa One Kenya Alliance (OKA), kuwa muungano wao hauna mbio kumteua mwaniaji wa Urais 2022,...

Masuala yanayomfanya Mudavadi ‘kuchukia’ Raila

CECIL ODONGO na LEONARD ONYANGO HATUA ya Kinara wa Amani National Congress (ANC) Musalia Mudavadi kuonekana kukerwa hadharani na...

Ujasiri wa kipekee wa Mudavadi kura ya 2022 ikikaribia

Na BENSON MATHEKA Licha ya ngome yake ya eneo la Magharibi kuonekana kumponyoka, kiongozi wa chama cha Amani National Congress (ANC)...

Mwanasiasa yeyote asijiapishe tena kama Raila, ni haramu – Mudavadi

Na SAMMY WAWERU KIONGOZI wa Amani National Congress (ANC) Bw Musalia Mudavadi amebadilisha msimamo wake kuhusu hatua ya Bw Raila Odinga...

Mudavadi sasa akimbilia baraka za wazee kabla ya Muhkisa Kituyi

Na DERICK LUVEGA KIONGOZI wa Chama cha Amani National Congress (ANC), Bw Musalia Mudavadi, amekimbilia kukutana na wazee wa jamii ya...

Nitapigania kiti cha urais, sitateuliwa na Ikulu – Mudavadi

Na DERICK LUVEGA KIONGOZI wa chama cha Amani National Congress (ANC) Musalia Mudavadi amesema hatarajii kukabidhiwa uongozi wa nchi hii...

Huzuni tele viongozi wakipoteza wazazi wao

Na WAANDISHI WETU HUZUNI ilitanda jana katika familia za viongozi mbalimbali waliofiwa na wazazi wao. Rais Uhuru Kenyatta aliongoza...

Kura ya Matungu kipimo cha umaarufu wa Mudavadi

Na LEONARD ONYANGO UCHAGUZI mdogo wa ubunge katika eneobunge la Matungu, Kaunti ya Kakamega, kitakuwa kipimo cha umaarufu wa kiongozi wa...

Raila, Mudavadi kujipima nguvu Matungu

VALENTINE OBARA na SHABAN MAKOKHA KIONGOZI wa Chama cha ODM, Bw Raila Odinga, amepuuzilia mbali wito wa viongozi wa eneo la Magharibi...