Mudavadi aitaka seneti itanzue mvutano kuhusu mfumo wa ugavi wa fedha

ERIC MATARA na CHARLES WASONGA KIONGOZI wa chama cha ANC Musalia Mudavadi amewataka maseneta wakubaliane na kutanzua mvutano kuhusu...

Matamshi ya Ruto ni ithibati chama tawala kimelemewa – Mudavadi

Na CHARLES WASONGA KIONGOZI wa ANC Musalia Mudavadi amekejeli Naibu Rais William Ruto kwa kudai kuwa cha Jubilee kimetekwa na...

MUDAVADI: Sina nia ya kuwa mgombea mwenza wa yeyote mbio za Ikulu 2022

Na SAMMY WAWERU KIONGOZI wa ANC Musalia Mudavadai amesema hatakuwa mgombea mwenza wa yeyote kiti cha urais katika uchaguzi mkuu ambao...

Mudavadi avuna wanachama 350 kutoka Jubilee

Na MWANGI MUIRURI CHAMA cha Musalia Mudavadi, ANC, Jumanne kimeendelea kuvuna wafuasi wa Rais Uhuru Kenyatta katika Kaunti ya Murang’a...

Mudavadi na Weta wapigania ubabe Magharibi

 BENSON AMADALA na DERICK LUVEGA MIPANGO ya kiongozi wa ANC Musalia Mudavadi na mwenzake wa Ford Kenya Moses Wetang’ula kukabili...

Mikakati anayohitaji Mudavadi kukabili papa na nyangumi wanaotawala bahari ya siasa

Na WANDERI KAMAU HUKU wanasiasa wakiendelea kusuka karata kuhusu mbinu watakazotumia kuibuka washindi kwenye uchaguzi mkuu wa 2022,...

Ford-Kenya, ANC kuanza mikutano ya Ruto magharibi

Na BENSON AMADALA VYAMA vya Amani National Congress (ANC) na Ford-Kenya vimepanga msururu wa mikutano kuanzia leo na wandani wa Naibu...

Mapinduzi ya siasa ya Mudavadi, Weta yanukia Magharibi

LUCY KILALO na WANDERI KAMAU KIONGOZI wa chama cha ANC Musalia Mudavadi na Seneta wa Bungoma, Moses Wetang’ula sasa wamejitokeza...

Wandani wa Ruto wamiminika kwa Mudavadi

Na BENSON MATHEKA IDADI ya wandani wa Naibu Rais William Ruto wanaomtembelea kiongozi wa Chama cha Amani National Congress (ANC) Musalia...

Mudavadi afanye kazi na Uhuru?

Na CHARLES WASONGA CHAMA cha Amani National Congress (ANC) Jumanne kitafanya mkutano wa kundi la wabunge na maseneta wake (PG) huku duru...

Mudavadi alitaka jopo la BBI kuhakikishia Wakenya ripoti hailengi kubuni nafasi za uongozi kwa watu kadhaa

Na WANDERI KAMAU KIONGOZI wa chama cha Amani National Congress (ANC)Musalia Mudavadi amefike mbele ya jopo la mpango nwa maridhiano...

Polisi wazima mkutano wa Mudavadi Mumias

SHABAN MAKOKHA na CHARLES WASONGA POLISI wa Mumias wamefutilia mbali kibali ambacho walikuwa wametoa kwa makundi mawili yaliyopanga...