Mahakama yatoa agizo nyama iharibiwe

NA JOSEPH WANGUI MAHAKAMA imeagiza nyama ya kilo 165 iliyopatikana katika makazi ya mtu binafsi kwenye mtaa wa Asia viungani mwa mji wa...

Hofu Gilgil wakazi kushuku wanalishwa nyama ya pundamilia

NA RICHARD MAOSI WAKAZI wa eneo la Gilgil na Naivasha, Nakuru wanahofia huenda wamekuwa wakila kitoweo cha pundamilia kwa muda sasa bila...

Ruto kukosa nyama choma Amerika

Na CHRIS WAMALWA NAIBU Rais William Ruto Jumatatu atakosa hafla ya kula nyama choma nchini Amerika baada ya ziara yake ya kuzindua...

Ruto kukosa nyama-choma Amerika

Na CHRIS WAMALWA NAIBU Rais William Ruto, Jumatatu atakosa hafla ya kula nyama choma nchini Amerika baada ya ziara yake ya kuzindua...

UFUGAJI: Masuala muhimu kuzingatia kabla kuanza kufuga kuku

Na SAMMY WAWERU UFUGAJI wa kuku ni miongoni mwa sekta ambapo wengi wameingilia ili kujiinua kimapato. Wanafugwa kwa ajili ya nyama na...

Nyama ya mbuzi haina ladha tena, anawala vinyonga, kobe, mbwa na paka

Na PETER MBURU   MWANAMUME anayefanya kazi ya ubawabu kutoka kijiji cha Ogongo, eneo la Nyatike, Kaunti ya Migori, ameshtua...

Madeni tele KMC huku serikali ikikiri kulemewa na kazi

Na PETER MBURU KIWANDA cha Nyama nchini, Kenya Meat Commission (KMC) kinazidi kuzongwa na madeni ya mamilioni ya pesa za wakulima wa...

Ushahidi wa nyama ya mbwa iliyooza waharibiwa kortini

Na RICHARD MUNGUTI NYAMA ilizoozea ndani ya nyumba ya raia watatu wa Uchina walio kizuizini na kuchafua hewa katika wa mtaa wa kifahari wa...

Wachina 3 waliokamatwa na nyama zilizooza wazuiliwa

Na RICHARD MUNGUTI RAIA watatu wa Uchina waliotiwa nguvuni Januari 8, 2019 katika mtaa wa Kilimani wakiwa na nyama za wanyamapori...

Seneta Mutula Jr alazwa hospitalini baada ya kusakamwa na nyama ya kuku

TOM MATOKE na BENSON MATHEKA SENETA wa Kaunti ya Makueni Mutula Kilonzo Junior, Jumatano alikimbizwa hospitalini baada ya kusakamwa na...

Mwanafunzi aitishwa mbuzi kwa kula nyama ya wenzake

STEPHEN MUNYIRI na PETER MBURU SHULE moja ya Upili inamulikwa kwa kutoa adhabu isiyo ya kawaida kwa wanafunzi, baada ya kumshurutisha...

Genge laiba ng’ombe 8 na kuwachinja kwa mochari

NA PETER MBURU POLISI mjini Nakuru wanawawinda genge la majambazi ambalo usiku wa kuamkia Jumanne liliiba ng'ombe wanane kutoka shamba...