SHINA LA UHAI: Hofu ya ongezeko la visa vya ukoma nchini

LEONARD ONYANGO NA WANGU KANURI UKOMA ni miongoni mwa magonjwa hatari yaliyotajwa katika Biblia na Koran. Kwenye Biblia kumerekodiwa...

SHINA LA UHAI: Hijama: Utaratibu unaotibu maradhi mbalimbali

NA FARHIYA HUSSEIN MFUMO wa matibabu uitwao hijama (cupping) au kuumika au ukipenda kupiga chuku ambao umekuwa ukitumika tangu jadi sasa...

SHINA LA UHAI: Dengue inavyotishia wanaougua kisukari na wajawazito

NA WANGU KANURI BRIAN Mwangi alikuwa buheri wa afya hadi mwanzoni mwa mwezi jana ambapo alianza ghafla kuhisi mchovu na joto jingi...

SHINA LA UHAI: Kansa ya matiti: Wanaume msiipuze!

Na PAULINE ONGAJI ALIPOGUNDUA kwamba alikuwa na maradhi ya kansa ya matiti mwaka wa 2010, David Thuo Mwanyura, 61, kutoka eneo la...

SHINA LA UHAI: H. pylori: Bakteria hatari wanaotesa mamilioni ya Wakenya

Na LEONARD ONYANGO JE, umekuwa ukihangaishwa na maumivu makali tumboni kwa kipindi kirefu na kuhisi kushiba hata bila kula, kuna...

SHINA LA UHAI: Hofu ya ongezeko la saratani ya mapafu nchini

Na PAULINE ONGAJI MIAKA mitatu iliyopita, Jess*, mkazi wa mtaa wa Kayole jijini Nairobi, aligundulika kuugua saratani ya mapafu ikiwa...

SHINA LA UHAI: Kukabili athari za tabianchi: Denmark mfano mzuri kwa Kenya

Na PAULINE ONGAJI HUKU ulimwengu ukiendelea kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi, Denmark, taifa la idadi ya watu milioni...

SHINA LA UHAI: ‘Wageni’ hatari wanaohangaisha wakazi hasa vijijini

Na LEONARD ONYANGO MIAKA saba tangu Abdirashid Bashir kuumwa na nyoka aina ya koboko (black mamba), hajawahi kupona licha ya kutumia...

SHINA LA UHAI: HIV: Maelfu wakwepa tembe za PrEP, kunaendaje?

Na LEONARD ONYANGO USIPOKUWA makini utadhani tembe ya kuzuia virusi vya HIV, pre-exposure prophylaxis (PrEP), ni sawa na tembe ya...

SHINA LA UHAI: Nimonia: Nduli anayewaandama watoto kila uchao

LEONARD ONYANGO na STEPHEN ODUOR UTAKAPOMALIZA kusoma makala haya, zaidi ya watoto 10 watakuwa wamefariki kote duniani kutokana na...

SHINA LA UHAI: Hedhi salama bado ni changamoto kwa wasichana shuleni

Na LEONARD ONYANGO UKOSEFU wa misala au vyoo safi shuleni kunachangia katika kudorora kwa masomo miongoni mwa wasichana kote...

SHINA LA UHAI: Wengi wakabiliwa na upofu unaoweza kuepukika

Na PAULINE ONGAJI CYBIL Ambogo, 25, alipogundulika kuugua myopia (near-sightedness), tatizo la macho ambapo mwathiriwa huona vitu...