SHINA LA UHAI: Dhiki ya wagonjwa huku vikwazo vya Covid vikiathiri matibabu ya kifua kikuu

Na PAULINE ONGAJI MARADHI ya Covid 19 yalipochipuka, mataifa mengi, Kenya miongoni mwao, yalipiga marufuku usafiri kutoka sehemu moja...

SHINA LA UHAI: Chanjo: Hatari ya mgando wa damu ipo ila ni kwa watu walio na matatizo tofauti

Na BENSON MATHEKA FLORA alikataa kwenda kupata chanjo ya corona kufuatia ripoti kwamba inasababisha mgando wa damu miongoni mwa matatizo...

SHINA LA UHAI: Corona: Chanjo ya AstraZeneca ni salama?

Na LEONARD ONYANGO SERIKALI huenda ikakosa kuafikia lengo lake la kutoa chanjo kwa watu milioni 1.2 ndani ya miezi miwili ijayo kutokana...

SHINA LA UHAI: Ng’amua ukweli kuhusu chanjo ya corona

Na LEONARD ONYANGO MOJA ya mambo makuu ambayo huenda yakasababisha ugonjwa wa corona kuendelea kuwepo humu nchini kwa muda mrefu si...

SHINA LA UHAI: Jinsi mihadarati inavyoua vijana kwa maradhi ya moyo

Na LEONARD ONYANGO IDADI kubwa ya vijana katika maeneo ya Pwani walishindwa kujiunga na jeshi wakati wa shughuli ya kusajili makurutu...

SHINA LA UHAI: Jinsi ya kukabiliana na kiharusi cha muda mfupi

Na PAULINE ONGAJI ILIKUWA siku sawa na zingine ambapo Jeff (sio jina lake kamili), 42, aliamka kama kawaida kujitayarisha kwenda...

SHINA LA UHAI: Baada ya dhiki ya miaka 13, ‘uboho mpya’ ukampa faraja?

Na PAULINE ONGAJI KWA miaka 13 amekuwa akipambana na maradhi ya selimundu (sickle cell disease). Ni ugonjwa ambao umeathiri pakubwa...

SHINA LA UHAI: Mzigo wa HIV na Kansa ya mlango wa uzazi kwa wanawake

Na LEONARD ONYANGO WAKATI wa maadhimisho ya Siku ya Ukimwi Duniani, Desemba 1, wiki iliyopita, watu jasiri wanaoishi na virusi vya HIV...

SHINA LA UHAI: Upandikizaji figo bado changamoto kwa wagonjwa wengi nchini

Na PAULINE ONGAJI ALIZALIWA akiwa na figo zote mbili lakini kulingana na madaktari, ni moja tu iliyokuwa ikifanya kazi. Kufikia mwaka...

SHINA LA UHAI: Visa vya mimba kuharibika vyaongezeka nchini

Na LEONARD ONYANGO WALIPOKUWA wakichumbiana miaka sita iliyopita Naomi Makini na Philip Mwangi waliafikiana kupata watoto watatu tu na...

SHINA LA UHAI: Huduma duni na gharama ‘zapofusha’ wengi

Na LEONARD ONYANGO MACHO yake yalipoanza kutoa machozi, Joseph Mirerea alidhani kwamba tatizo hilo lilisababishwa na upepo mkali ambao...

SHINA LA UHAI: Kasoro ya kimaumbile imemnyima shangwe maishani

Na PAULINE ONGAJI ALIGUNDUA kwamba hakuwa na viungo vya uzazi akiwa na umri wa miaka 17. Naam, Julian Peters, alizaliwa bila viungo...