Sossion asema mbinu ‘chafu’ za TSC kamwe hazitagawanya walimu

Na Osborne Manyengo KATIBU Mkuu wa Chama cha Kitaifa cha Walimu (KNUT), Bw Wilson Sossion ameilaumu Tume ya Huduma za Walimu (TSC) kwa...

Utawala wa Sossion katika KNUT hatarini

Na SHABAN MAKOKHA UTAWALA wa Katibu Mkuu wa Muungano wa Walimu Kenya (KNUT) Wilson Sossion, sasa unaning’inia kwenye jabali baada ya...

KNUT: Walalama Sossion amesambaratisha chama

Na TITUS OMINDE MGAWANYIKO unaendelea kutikisa chama cha Walimu nchini Knut huku uchaguzi wa kitaifa ukitarajiwa kufanyika Juni 20.Kambi...

Sossion awataka wazazi wawe watulivu majadiliano kuhusu elimu yakiendelea

Na CHARLES WASONGA KATIBA Mkuu wa Chama cha Kitaifa cha Walimu (Knut) Wilson Sossion amewataka wazazi kudumisha utulivu huku wizara za...

KNUT yataka walio karantini shuleni waondolewe

Na FAITH NYAMAI KATIBU Mkuu wa Chama cha Kitaifa cha Walimu Kenya (KNUT), Bw Wilson Sossion, anataka watu waliowekwa karantini katika...

WANDERI: Dawa ya masaibu ya Sossion ni kujiuzulu

Na WANDERI KAMAU MFALME Sobhuza II wa Swaziland (inayoitwa Eswatini) alitawala nchi hiyo kwa miaka 82. Anatajwa kuwa kiongozi...

Sossion apata fursa ya kuponda Magoha kwenye kizaazaa

Na WANDERI KAMAU KIZAAZAA kilizuka Alhamisi kwenye kikao cha Kamati ya Bunge Kuhusu Elimu baada ya Waziri wa Elimu Prof George Magoha...

Tutasambaratisha masomo Januari ‘uhamisho kiholela’ usipokomeshwa, walimu waapa

Na WANDERI KAMAU WALIMU wametangaza mgomo mkubwa wa kitaifa kuanzia Januari 2 2019, kwa kile wametaja kutozingatiwa kwa maslahi yao na...

Tunatambua Sossion kama kinara wa KNUT – Mahakama

Na RICHARD MUNGUTI KITUMBUA cha naibu wa katibu mkuu (SG) wa chama cha kutetea walimu Hesbon Otieno kilitiwa mchanga baada ya mahakama...

Mzozo Knut wachacha huku Sossion akitupwa nje

Na BERNARDINE MUTANU MZOZO katika Chama cha kitaifa cha Walimu (KNUT) uliendelea kutokota zaidi jana baada ya wanachama wa Kamati Kuu...

Sitoki KNUT ng’o, aapa Sossion

Na WYCLIFFE MUIA KATIBU Mkuu wa Muungano wa Walimu nchini (Knut) Wilson Sossion Jumanne alisema hang’atuki kamwe baada ya Baraza la...

Walimu wote 88,000 waajiriwe kazi ya kudumu – Sossion

Na CHARLES WASONGA CHAMA cha Kitaifa cha Walimu (Knut) kimeitaka serikali kuhakikisha kuwa walimu wote 88,000 watakaoajiriwa ni wale wa...