Kaunti lawamani kuhusu ubomoaji

WINNIE ATIENO na FARHIYA HUSSEIN SERIKALI ya Kaunti ya Mombasa imelaumiwa kwa ubomoaji majengo ambao ulitokea katika sehemu tofauti za...

UBOMOAJI: Matiang’i na wenzake wakaidi seneti

Na CHARLES WASONGA MAWAZIRI watatu na Mkurugenzi Mkuu wa Kitengo cha Usimamizi wa Huduma Nairobi (NMS) Mohammed Badi wamefeli kufika...

Ubomoaji katili

Na CHARLES WASONGA SAA chache baada ya Mahakama Kuu kutoa amri ya kusitishwa kwa ubomoaji zaidi katika kitongoji cha Kariobangi...

Serikali yasitisha ubomoaji zaidi Kariobangi

NYAMBEGA GISESA na CHARLES WASONGA SERIKALI imesitisha ubomoaji zaidi katika kitongoji duni cha Kariobangi Sewerage kilichoko katika...

KARIOBANGI: Baadhi ya wahasiriwa wajihusisha na vitendo vya uhalifu

Na GEOFFREY ANENE HUKU wahasiriwa wengi wa ubomoaji makazi mtaa wa mabanda wa Kariobangi Sewage wakianza kujiandikisha ili wapokee...

MASAIBU: Ubomoaji waathiri vibaya wakazi wa Korogocho

Na GEOFFREY ANENE SIKU moja tu baada ya wakazi wa mtaa wa mabanda wa Kariobangi Sewage kuachwa bila makao na wengi kukesha nje kufuatia...

Serikali yasema waliofurushwa Kariobangi walihadaiwa kununua vipande vya ardhi

Na SAMMY WAWERU SIKU kadhaa baada ya baadhi ya wakazi Kariobangi, Nairobi, kuachwa bila makao kufuatia ubomoaji wa nyumba zao, serikali...

Kizaazaa nyumba ikibomolewa Viwandani

Na SAMMY KIMATU KULIKUWA na sinema bila malipo katika eneo la Express kando ya barabara ya Likoni katika kaunti ya Nairobi Jumanne...

Afueni ubomoaji wa soko Githurai kusitishwa

Na SAMMY WAWERU Wafanyabiashara na wachuuzi wa soko maarufu la Jubilee mtaani Githurai 45, Kiambu, wamepata afueni baada ya serikali...

Maswali yaibuka kuhusu ubomozi wa nyumba Zimmerman

Na SAMMY WAWERU WAMILIKI wa majengo katika mradi wa shamba la chama cha ushirika cha Zimmerman Settlement Scheme, lililoko Nairobi,...

Majengo yaliyojengwa kinyume cha sheria yabomolewa Kisii

 JADSON GICHANA na CHARLES WASONGA MAAFISA wa Serikali ya Kitaifa na ile ya kaunti Alhamisi walibomoa majengo ambayo yamejengwa  kinyume...

Tutapoteza Sh500 bilioni tukizidi kubomoa majengo – Balala

Na CHARLES WASONGA MWENYEKITI wa Kamati ya Kuboresha Hali ya Jiji la Nairobi Najib Balala ameonya kuwa ikiwa shughuli ya ubomoaji...