PICHA: Mzozo wazua kubomolewa kwa nyumba 20 Railways, Nairobi

Na PETER MBURU MZOZO wa usimamizi wa mali ya mamilioni ya watu waliokuwa wafanyakazi wa Shirika la Reli, Nairobi ulifikia kilele...

Sonko abomoa vyoo, atisha kubomoa hoteli ya Marble Arch

Na MWANDISHI WETU GAVANA wa Nairobi Mike Sonko Ijumaa alitisha kubomoa hoteli ya Marble Arch inayomilikiwa bilionea Mike Maina kwa...

Wabunge wamkejeli Sonko kuwabomolea wakazi nyumba

Na CHARLES WASONGA WABUNGE wawili kutoka Kaunti ya Nairobi wamemshtumu Gavana wa Nairobi kufuatia kubomolewa kwa nyumba kadhaa mashariki...

Ilani ya ubomoaji yatolewa kwa wenye majumba

Na BERNARDINE MUTANU SERIKALI ya Kaunti ya Nairobi imetoa ilani ya ubomoaji wa nyumba katika mtaa wa Eastleigh. Katika notisi hiyo...

Mkurugenzi wa Taj Mall atishia serikali dhidi ya kubomoa jengo

Na PETER MBURU VITA vya ubabe vimezidi kushuhudiwa kuhusiana na shughuli ya ubomoaji wa majumba yaliyojengwa katika sehemu zisizoruhusiwa,...

UBOMIAJI: Sonko na Waititu warukiana mitandaoni

NA PETER MBURU Semi za Gavana wa Kiambu Ferdinand Waititu za kukosoa ubomoaji wa majumba yaliyojengwa karibu na mito na badala yake...

‘Hekima’ ya Waititu kusongesha mito yashtua dunia

Na VALENTINE OBARA GAVANA wa Kiambu, Bw Ferdinand Waititu, ameibua mjadala mkali nchini baada ya kupendekeza kwamba mikondo ya mito...

OBARA: Kutunza mazingira ni bora kuliko ajenda zote

Na VALENTINE OBARA SERIKALI ya Rais Uhuru Kenyatta huenda ina makosa mengi mno iliyotenda na kuathiri vibaya hali ya mwananchi wa...

Waliobomolewa majengo Nairobi walete vibali – Polisi

Na CHARLES WASONGA POLISI sasa wanawataka wamiliki wa majengo ambayo yaliathirika katika ubomoaji unaoendelea kuwasilisha stakabadhi...

Wakazi wa mitaa ya mabanda waandamana kupinga ubomoaji

Na RICHARD MUNGUTI SHUGHULI katika eneo la Community, Nairobi zilisambaratishwa na maandamano ya wakazi wa mitaa ya mabanda waliofurika...