Binti akasirisha baba kwa kuamua kumpinga kisiasa

Na DAILY MONITOR HUKU joto la uchaguzi likiendelea kupanda nchini Uganda, mwanasiasa mmoja amemuasi bintiye aliyetangaza azma ya...

Mpango wa kuwarudisha nyumbani Waganda waliokwama ughaibuni wakwama

NA DAILY MONITOR Serikali ya Uganda imeahirisha mpango wa kuwarudisha nyumbani wananchi wake ambao wamekwama nchi za nje, Wizara ya afya...

Madereva kutoka Kenya wadai wanawekwa katika vituo duni vya karantini Uganda

Na WINNIE ATIENO WAWEKEZAJI katika sekta ya uchukuzi nchini wameishtumu serikali kwa kushindwa kuwalinda dhidi ya changamoto ambazo...

Taharuki UG wafuasi wa upinzani wakikamatwa

Na AFP IDADI isiyojulikana ya wafuasi wa upinzani Uganda, akiwemo aliyekuwa mgombea urais Dkt Kizza Besigye, wanazuiliwa na polisi...

Besigye, Bobi Wine katika kikao cha siri kuhusu 2021

Na ERIASA MUKIIBI SSERUNJOGI, DAILY MONITOR KAMPALA, UGANDA IMEFICHUKA kwamba Kiongozi wa upinzani nchini Uganda Dkt Kizza Besigye na...

Serikali ya Museveni yapitisha kuundwa kwa Baraza Kuu la Kiswahili

NA MASHIRIKA KAMPALA, UGANDA SERIKALI imeidhinisha hoja ya kutaka kubuniwa kwa Baraza la Kitaifa la Kiswahili litakalotoa mwongozo...

Kisasi Kenya, UG zikionana katika mchujo wa raga

Na GEOFFREY ANENE KENYA na Uganda zitafufua uhasama wao kwenye raga wakati Lionesses itavaana na Lady Cranes katika mechi yao ya pili ya...

JANDONI: Uganda katika mizani raundi ya 16-bora ikianza

Na MASHIRIKA CAIRO, Misri MECHI za muondoano za hatua ya 16-bora za AFCON zitaanza rasmi leo Ijumaa hadi Jumatatu katika viwanja...

Mpaka kati ya Rwanda na Uganda wafunguliwa

Na AFP SERIKALI ya Rwanda hatimaye imefungua mpaka wake na Uganda katika eneo la Gatuna ili kuruhusu magari yanayobeba bidhaa kupita na...

Warwanda wawili wakamatwa UG wakiendesha ujasusi

Na DAILY MONITOR MAAFISA wa usalama wa Uganda wamekamata wanajeshi wawili wa Rwanda kwa madai ya kuingia nchini humo kukusanya taarifa...

Mshangao watoto wa miaka 9 na 6 kufunga ndoa

Na PHILIP WAFULA WAKAZI wa kijiji cha Nakapyata, Baraza la Mji wa Buyende, Wilaya ya Buyende mashariki mwa Uganda, wamestaajabisha wengi...

FAHARI TELE: Historia mataifa yote ya Afrika Mashariki kutua fainali AFCON

Na MASHIRIKA DAR ES SALAAM, TANZANIA TANZANIA waliwapepeta Uganda 3-0 jijini Dar es Salaam mnamo Jumapili na kufuzu kwa fainali za Kombe...