Utepetevu Kenya Power ulivyoiletea familia mahangaiko

HELLEN SHIKANDA, FAUSTINE NGILA Na SAMMY WAWERU Petronilla Muchele ni mama mwenye huzuni, huku uso wake ukieleza bayana...

Kenya Power matatani baada ya mama na mwanawe kuuawa na umeme

Na SAMMY WAWERU Kisa cha mama na mwanawe kufariki baada ya kukanyaga waya wa umeme katika kijiji cha Bowa, eneo la Matuga, Kaunti ya...

Mama afariki na mwanawe baada ya kukanyaga waya wa umeme Kwale

FADHILI FREDRICK na DIANA MUTHEU MAMA na mtoto wake aliyekuwa na umri wa miezi mitatu wamekumbana na kifo baada ya kukanyaga waya wa...

WANGARI: Uzalishaji kawi salama utaharakisha ustawi wa nchi

Na MARY WANGARI HUKU muda wa kufanikisha malengo ya Ruwaza 2030 ukizidi kuyoyoma, pana haja ya kutilia maanani suala la kuwezesha kuwepo...

YASIKITISHA: Badala ya mwangaza nyaya za stima zasababisha maafa mtaa wa mabanda wa Bangladesh

Na WINNIE ATIENO NYAYA za stima zinaning'inia vibaya katika nyumba za wakazi wa mtaa wa mabanda wa Bangladesh, Mombasa na watoto...

Nyaya za stima zakatwa ghafla Kariobangi South

Na GEOFFREY ANENE MADAI yameibuka kuwa wafanyakazi kutoka kampuni ya kusambaza umeme ya Kenya Power walionekana wakizunguka mtaani...

Wawili wauawa na umeme Mukuru

Na SAMMY KIMATU WATU wawili wamefariki baada ya kupigwa na stima umeme katika mitaa miwili ya Mukuru ilioko kaunti ya Nairobi...

Kenya Power kutumia Sh9.5b kuunganisha umeme Nyanza

Na Ruth Mbula KAMPUNI ya Kenya Power itatumia Sh9.5 bilioni kuunganisha umeme katika eneo la Nyanza Kusini. Hii ni pamoja na matumizi...

Wanaounganishia raia umeme kwa njia za mkato waonywa

Na OSCAR KAKAI WAZIRI Msaidizi wa Kawi, Bw Simon Kachapin amewaonya maafisa katika sekta ya kawi dhidi ya kujihusisha na ufisadi katika...

Wanaoishi karibu na bwawa la Kiambere kupata umeme na maji

Na MWANGI MUIRURI SERIKALI sasa imekubali kutoa miradi ya maji na umeme kwa wakazi wanaoishi karibu na bwawa la uzalishaji kawi la...

Wafanyakazi waliouza umeme wa Kenya Power kwa bei nafuu wafutwa

NA CHARLES WASONGA KAMPUNI ya kusambaza umeme nchini, Kenya Power (KP)imefichua imewafuta kazi wafanyakazi wake 13 waliwauzia wateja...

Aliyemwekea dhamana kinara wa KEBS aliyekufa aitwa kortini

Na BENSON MATHEKA MKENYA aliyemwekea dhamana Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Kukadiria Ubora wa Bidhaa nchini (KEBS) wa zamani, Dkt Kioko...