Je, maji haya yatapunguza gharama ya umeme?

Na BERNARDINE MUTANU Bei ya umeme inatarajiwa kushuka zaidi katika muda wa miezi kadhaa ijayo kutokana na ongezeko la kiwango cha maji...

Mkakati mpya wa kupunguza ada ya umeme

Na BERNARDINE MUTANU Ni habari njema kwa Wakenya baada ya serikali kuondoa baadhi ya ada inazotoza umeme. Hatua hiyo ni kumaanisha...

Kenya Power ichunguzwe kwa kuwapunja Wakenya – Wabunge

Na CHARLES WASONGA MHASIBU Mkuu wa serikali Edward Ouko ametakiwa kuufanyia ukaguzi mfumo ambao hutumiwa na kampuni ya kusambaza umeme...

Mvua inayonyesha kuchangia kushuka kwa ada ya umeme

Na BERNARDINE MUTANU Gharama ya umeme inatarajiwa kushuka kwa kiasi kikubwa kutokana na mvua kubwa inayoendelea kunyesha...

Agizo picha za walaghai wa umeme zisichapishwe

Na BENSON MATHEKA POLISI wameagizwa kutochapisha au kusambaza picha za washukiwa wanaodaiwa kujifanya wafanyakazi wa kampuni ya Kenya...

Mamia ya wakazi waachwa gizani na Kenya Power msakoni Tassia

Na BERNARDINE MUTANU Kampuni ya Kenya Power imewaacha bila stima wakazi wa orofa 20 katika mtaa wa Tassia, Nairobi wakati wa operesheni...

Gharama ya umeme kupanda mwishoni mwa Machi

Na BERNARDINE MUTANU GHARAMA ya matumizi ya umeme inatarajiwa kupanda juu zaidi mwezi huu. Hii ni baada ya Tume ya Kudhibiti Kawi (ERC)...

Gharama ya umeme kupanda zaidi kusiponyesha

[caption id="attachment_1849" align="aligncenter" width="800"] Kifaa cha kidijitali cha kuhesabu matumizi ya umeme. Picha/...